Tetesi: Jokate na Alikiba Wadaiwa Kuzama Penzini
Tetesi za mastaa wa hapa Bongo, Jokate Mwegelo na Ally Kiba kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zimezidi kupamba moto baada ya hapo jana mtangazaji wa Clouds FM Soudy Brown kumuoji Jokate juu ya ukweli wa tetesi hizo ambapo Jokate aliishia kucheka tu bila kutoa majibu.
Kwa mujibu wa Soudy kwa muda mrefu amekuwa akiwafuatilia wa wili hao kwani mara nyingi wamekuwa wakionana wakiwa pamoja sehemu mbalimbali kama kwenye restaurants na mara kadhaa nyumbani kwa Alikiba.
Sasa leo kwenye...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo525 Nov
Alikiba akanusha tetesi za kumpa ujauzito Jokate
![kiba2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/kiba2-300x194.jpg)
Staa wa Bongo fleva, Alikiba amekanusha taarifa zilizoandikwa na moja ya magazeti ya udaku hivi karibuni, kuwa amempa ujauzito Jokate Mwegelo.
Hivi ndivyo ilivyoandikwa:
“Wakati Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu akihaha kuhakikisha anaitwa mama, habari ‘exclusive’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa, mwanamitindo anayefanya pia muziki na filamu, Jokate Mwegelo amenasa ujauzito huku muhusika mkuu wa mzigo huo akidaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa, Ali Saleh Kiba ‘Ali...
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Jokate na Alikiba kunani? Wadaiwa kuonekana pamoja usiku mnene
Habari zilizoletwa mezani kwetu zinadai kuwa kuna “kitu” cha chini chini kinaendela kati ya msanii wa filamu na bongofleva nchini Jokate Mwegelo na mwana-bongofleva maarufu Ali Kiba baada ya wawili hao kunaswa wakiwa pamoja usiku wa manane katika ukumbi wa Dar live huko mbagala kwenye show ya Alikiba.
Wadakuzi w mambo wanadai bidada Jokate alionekana akiwa nyuma ya stage akifuatilia kwa umakini show hiyo ya Alikiba usiku wote. Na alipofuatwa kuulizwa kunani kati yao wawili alijibu kuwa yeye...
10 years ago
Vijimambo28 May
EXCLUSIVE: JOKATE ASUBIRIA MAAMUZI YA ALIKIBA
![](http://i0.wp.com/teamtz.com/wp-content/uploads/2015/05/JOKATE-ALIKIBA.jpg?resize=620%2C486)
She was miss Tanzania namba two 2006 Jokate Mwegelo ambaye ni maarufu kwa jina la Kidoti, we know kwamba Jokate anavipaji vingi coz yeye ni Presenter, Actress, Fashionist, pia ni muimbaji wa muziki wa Bongo fleva.
Hivyo wakati Jokate akizungumza Exclusive na mwandishi wetu, alifungua ukurasa wa maelezo haya.
ABOUT FASHION“Ilove Fashion coz nilitokea kwenye ulimbwende hapa nchini na Tasnia hii kiukweli bado haijafanyiwa vitu vingi,so kwangu mimi nifaraja kwa sababu Brand yangu ya Kidoti,...
9 years ago
Bongo528 Sep
Alikiba na Jokate washuhudia mtanange wa Simba na Yanga pamoja
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Video ya Alikiba kwenye stage alivyouaga mwaka akisindikizwa na wakina Wema, Jokate
Matukio mengi ya burudani yamezidi kupata headlines mbalimbali hususani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka 2015, hapa nakusogeza karibu tena na msanii Alikiba kwenye stage ya Escape One, Mikocheni Dar es Salaam Dec 26. Bonyeza Play hapa ushuhudie matukio yote ikiwemo Wema Sepetu na Jokate walivyopandishwa jukwaani. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]
The post Video ya Alikiba kwenye stage alivyouaga mwaka akisindikizwa na wakina Wema, Jokate appeared first on...
11 years ago
Bongo525 Jul
Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi
10 years ago
Bongo Movies09 Jun
Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba
Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.
Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.
Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzdeg*cjvcLv7b*COgshE7CmEKw8cUMzg3P--OUkc8f9sfjPLg6S0y00m*JzzDvGuagL-TQPzQ6WsQEtBQ66WzE8/mahaba.jpg)
KAULI NDIYO SILAHA PENZINI