EXCLUSIVE: JOKATE ASUBIRIA MAAMUZI YA ALIKIBA
She was miss Tanzania namba two 2006 Jokate Mwegelo ambaye ni maarufu kwa jina la Kidoti, we know kwamba Jokate anavipaji vingi coz yeye ni Presenter, Actress, Fashionist, pia ni muimbaji wa muziki wa Bongo fleva.
Hivyo wakati Jokate akizungumza Exclusive na mwandishi wetu, alifungua ukurasa wa maelezo haya.
ABOUT FASHION“Ilove Fashion coz nilitokea kwenye ulimbwende hapa nchini na Tasnia hii kiukweli bado haijafanyiwa vitu vingi,so kwangu mimi nifaraja kwa sababu Brand yangu ya Kidoti,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
DKT. HUSSEN MWINYI AREJESHA FOMU, ASUBIRIA MAAMUZI YA CHAMA
NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo 24 Juni, amerejesha fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Dkt. Hussein Mwinyi aliwasili majira ya saa nane mchana kurejesha fomu hiyo ambapo ilikaguliwa na kisha kwenda kuirejesha kwa Katibu wa Idara ya Organization CCM, Cassian Galos.
Hata hivyo aliweza kuzungumza kwa kifupi pekee ambapo alisema:
"Kwa sasa hatua ya kwanza mchakato umemalizika wa...
10 years ago
Bongo Movies09 May
Tetesi: Jokate na Alikiba Wadaiwa Kuzama Penzini
Tetesi za mastaa wa hapa Bongo, Jokate Mwegelo na Ally Kiba kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zimezidi kupamba moto baada ya hapo jana mtangazaji wa Clouds FM Soudy Brown kumuoji Jokate juu ya ukweli wa tetesi hizo ambapo Jokate aliishia kucheka tu bila kutoa majibu.
Kwa mujibu wa Soudy kwa muda mrefu amekuwa akiwafuatilia wa wili hao kwani mara nyingi wamekuwa wakionana wakiwa pamoja sehemu mbalimbali kama kwenye restaurants na mara kadhaa nyumbani kwa Alikiba.
Sasa leo kwenye...
9 years ago
Bongo525 Nov
Alikiba akanusha tetesi za kumpa ujauzito Jokate

Staa wa Bongo fleva, Alikiba amekanusha taarifa zilizoandikwa na moja ya magazeti ya udaku hivi karibuni, kuwa amempa ujauzito Jokate Mwegelo.
Hivi ndivyo ilivyoandikwa:
“Wakati Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu akihaha kuhakikisha anaitwa mama, habari ‘exclusive’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa, mwanamitindo anayefanya pia muziki na filamu, Jokate Mwegelo amenasa ujauzito huku muhusika mkuu wa mzigo huo akidaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa, Ali Saleh Kiba ‘Ali...
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Exclusive ya Ben Pol: ufafanuzi wa alichoandika kuhusu Alikiba
Mwimbaji staa wa bongofleva Ben Pol amezimiliki headlines za Tanzania kwa zaidi ya saa 20 zilizopita baada ya tweet aliyoiandika kwa mwimbaji Alikiba ambayo imeonekana kuwa na utata, utata uliopelekea na Alikiba kumjibu… kwenye video hapa chini Ben Pol ameeleza kila kitu tunachotakiwa kukifahamu. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]
The post Exclusive ya Ben Pol: ufafanuzi wa alichoandika kuhusu Alikiba appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo528 Sep
Alikiba na Jokate washuhudia mtanange wa Simba na Yanga pamoja
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Jokate na Alikiba kunani? Wadaiwa kuonekana pamoja usiku mnene
Habari zilizoletwa mezani kwetu zinadai kuwa kuna “kitu” cha chini chini kinaendela kati ya msanii wa filamu na bongofleva nchini Jokate Mwegelo na mwana-bongofleva maarufu Ali Kiba baada ya wawili hao kunaswa wakiwa pamoja usiku wa manane katika ukumbi wa Dar live huko mbagala kwenye show ya Alikiba.
Wadakuzi w mambo wanadai bidada Jokate alionekana akiwa nyuma ya stage akifuatilia kwa umakini show hiyo ya Alikiba usiku wote. Na alipofuatwa kuulizwa kunani kati yao wawili alijibu kuwa yeye...
10 years ago
Bongo519 Dec
Video ya ‘Mwana’ ya Alikiba kutambulishwa ‘exclusive’ na vituo 4 vya nje ya Tanzania
9 years ago
Bongo518 Nov
Exclusive: Haya ndio mambo ambayo Alikiba anahisi kufanyiwa ili asifanikiwe

Alikiba aliishut down Instagram Jumatatu hii kwa post iliyozua maswali mengi.
Wengi waliitafsiri post hiyo kama amelalamika kukosa tuzo za Afrima zilizotolewa Jumapili hii nchini Nigeria, licha ya kutajwa kwenye vipengele vinne.
Akiongea na kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kufafanua kuhusu post hiyo ya Instagram iliyofutwa tayari, Kiba alisema aliamua kuandika hivyo kuwashukuru mashabiki wake kwa namna wanavyompigania na kuwahakikisha kuwa anajitahidi kwa nguvu zake zote kuwafurahisha...