Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nisher: Sasa hivi nina mchumba na mwakani natarajia kuwa baba

nisher na mchumba-4

Muongozaji wa video nchini , Nisher David George maarufu kama Nisher ameweka wazi kuwa mchumba wake ambaye ameanza kumuweka hadharani hivi karibuni ni mjamzito.

nisher na mchumba-4

Nisher ameiambia Bongo5 kuwa ‘baby’ wake aitwaye Sandra ni mjamzito wa mwezi mmoja na nusu hivyo wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwakani 2016.

nisher na mchumba-5

Ukitembelea akaunti za mitandao ya kijamii za Nisher na mrembo huyo utagundua ‘love is in the air’, kutokana na wote kupost picha nyingi za pamoja kitu ambacho zamani Nisher...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Nisher amzawadia tuzo baba yake

BAADA ya kushinda katika Tuzo za Watu 2014 zinazoandaliwa na mtandao wa Bongo5, mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nisher, ameamua kumkabidhi baba yake mzazi tuzo hiyo. Nisher, ni...

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Si Baba Malcom tu, Nikki Mbishi sasa ni Baba Nathan pia!!

Hivi karibuni rapper Nikki Mbishi aliongeza member mwingine kwenye familia yake. Nikki akiwa na mwanae, Nathan Rapper huyo ana amepata mtoto mwingine wa kiume aitwaye Nathan. Tayari rapper huyo ana mtoto mwingine wa kiume aitwaye Malcom. Mama Nathan ameandika: Together God gave us Nathan!! yes he is his father no more questions!! Have a good […]

 

10 years ago

GPL

MMOJA WA VIJANA WALIONASWA KWA UJAMBAZI DAR ALIMVISHA PETE MCHUMBA WAKE HIVI KARIBUNI

Mmoja wa vijana walionaswa kwa ujambazi jana akiwa na msichana anayedaiwa kumvisha pete hivi karibuni. Vijana wanne walionaswa katika tukio la ujambazi jana. Wa pili kulia ndiye anayedaiwa kumvisha pete mchumba wake hivi karibuni. Vijana hao wakiwa chini ya ulinzi baada ya…

 

10 years ago

Habarileo

Uboreshaji wa Daftari la Wapigakura sasa mwakani

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu, Damian LubuvaMWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema uboreshaji wa Daftari la Wapigakura umechelewa kuanza kutokana na kuchelewa kuagiza vifaa vya kufanya kazi hiyo kwa wakati, hivyo kazi hiyo sasa itafanyika mapema mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Daraja Kigamboni sasa kukamilika Julai mwakani

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni unatarajia kukamilika Julai mwakani badala ya Januari mwakani.

 

10 years ago

Bongo Movies

Johari: Nina mtoto sawa, mnataka kumjua baba yake ili iweje?

Staa wa Bongo Movies, Blandina Chagula  ‘Johari’ amedai kushangazwa na watu wanaoshindwa kufanya mambo yao binafsi na kuanza kufuatilia maisha yake pamoja na mtoto wake.


ohari ameiambia Bongo5 kuwa anaishi kwa furaha na mwanae licha baadhi ya watu kumfuatilia na kutaka kujua mtoto wake amezaa na nani kitu ambacho hapendi kukiweka wazi kwa sasa.
“Sidhani kama kuna mtoto ambae anakosa baba,” amesema muigizaji huyo.


“Siku nitapokuwa tayari nitamweka wazi baba yake ili waridhike. Kwa sababu...

 

9 years ago

Bongo5

Msechu aeleza kwanini hawezi kuwa na wivu kwa mchumba wake

Peter Msechu na Mpenzi wake

Peter Msechu amesema anampenda na kumwamini mke wake.

Peter Msechu na Mpenzi wake

Akizungumza na E-Newz ya EATV, Msechu alisema mchumba wake aliyezaa naye mtoto mmoja wamefahamiana tangu mwaka 2002.

“Namwachaje mwanamke nimemganda kama luba, hata nimkute na wanaume 4000 namwambia ‘mama kaoge tuendelee na maisha,” alisema alisema Mchechu.

“Maisha ni mazuri sana, mama wa mtoto wangu nimekutana naye mwaka 2002, hesabu huu ni mwaka wa ngapi nipo na huyu mama? Na huyo mama ndio aliyenipigia simu akaniambia ‘mpenzi wangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani