Msechu aeleza kwanini hawezi kuwa na wivu kwa mchumba wake
Peter Msechu amesema anampenda na kumwamini mke wake.
Akizungumza na E-Newz ya EATV, Msechu alisema mchumba wake aliyezaa naye mtoto mmoja wamefahamiana tangu mwaka 2002.
“Namwachaje mwanamke nimemganda kama luba, hata nimkute na wanaume 4000 namwambia ‘mama kaoge tuendelee na maisha,” alisema alisema Mchechu.
“Maisha ni mazuri sana, mama wa mtoto wangu nimekutana naye mwaka 2002, hesabu huu ni mwaka wa ngapi nipo na huyu mama? Na huyo mama ndio aliyenipigia simu akaniambia ‘mpenzi wangu...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Oct
Rick Ross aeleza jinsi alivyomvisha pete ‘kibabe’ mchumba wake bila kupiga goti
9 years ago
Bongo513 Oct
Ben Pol aeleza kwanini hataki kuonekana na mpenzi wake kila wakati
9 years ago
Bongo506 Nov
Nick wa Pili aeleza kwanini wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’ umekuwa gumzo mapema
![10475068_580578882090207_1870253540_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/10475068_580578882090207_1870253540_n-300x194.jpg)
Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili amesema wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’ umekuwa gumzo mapema kutokana na ujumbe wake na jinsi alivyobadilika kwenye aina ya uchanaji.
Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo utakuwa ni miongoni mwa nyimbo zake zitakazoishi kwa muda mrefu zaidi.
“Kichwa cha jina la wimbo kimechangia wimbo kwenda haraka, utofauti wa kilichoimbwa, ujumbe ni wa kufurahisha sana, muundo wa chorus ni mpya, beat hata michano ni vipya ndio kitu ambacho kimewagusa watu,”...
9 years ago
Bongo512 Oct
Diamond aeleza kwanini ‘alidedicate’ tuzo zake za Afrimma kwa Tiffah
9 years ago
Bongo509 Oct
Barnaba ana majibu ya kwanini hapati tuzo licha ya kuwa mchango wake kwenye muziki unafahamika
9 years ago
Bongo517 Sep
Godzilla adai hawezi kuuza utu wake kwa show siasa
9 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Rihanna akava jarida la Vanity Fair, aeleza kwanini alirudiana na Chris Brown licha ya kumjeruhi kwa kipigo
9 years ago
Bongo502 Dec
Msechu akiri kuwa yeye si mwandishi mzuri, afungua milango kwa yeyote kumwandikia nyimbo zake
![Msechu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Msechu-300x194.jpg)
Peter Msechu ni miongoni mwa wasanii wachache ambao hawaoni shida kukiri kuwa si wazuri kwenye upande wa uandishi wa nyimbo, licha ya kuwa na kipaji na uwezo mkubwa wa kuimba na kucheza vyombo vya muziki.
Baadhi ya wasanii (wa Bongo) huwa hawapendi kusema ukweli pale wanapoandikiwa nyimbo na wasanii wengine, kwa kudhani watu wakijua wameandikiwa inaweza kuwapunguzia thamani.
Msechu ambaye ameachia wimbo mpya wiki iliyopita, amesema kuwa baada ya kugundua kuwa sio mzuri kwenye upande wa...