Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Kassim Mganga ‘Subira’
Kassim Mganga amekamilisha video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella, wimbo uliotoka mwanzoni mwa mwaka huu.
Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma inatarajiwa kutoka Ijumaa hii.
“Muda mrefu sana nimekuwa na kigugumizi juu ya majibu ya maswali yenu kuhusu video ya wimbo wenu pendwa wa #SUBIRA…kazi haikuwa ndogo kukamilisha hii video yote kupata video ya kiwango kinachohitajika machoni mwenu wadau..kazi imekamilika shukran kwa subira yenu wadau,in shaa Allah Ijumaa hii...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Video ya ‘subira’ ya Kassim Mganga hadharani leo
NA SHARIFA MMASI
BAADA ya kushambuliwa kwa maneno na mashabiki wake wakihitaji video ya wimbo wake wa ‘Subira’, msanii mahiri nchini, Kassim Mganga, leo anatarajiwa kuiachia video hiyo ili kupoza mashabiki wake hao.
Wimbo wa ‘Subira’ ambao Kassim amemshirikisha mkali wa sauti, Christian Bella, unaendelea kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio nchini bila ya kuwa na video yake.
“Muda mrefu nimekuwa na kigugumizi juu ya maswali ya mashabiki wangu kuhusu video ya wimbo wa Subira,...
9 years ago
Bongo505 Sep
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Belle 9 — ‘Shauri Zao’
9 years ago
Bongo523 Oct
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Nonini aliyomshirikisha Chege — Wanajishuku
9 years ago
Bongo523 Nov
Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Shaa ‘Toba’ iliyoongozwa na Justin Campos
![Shaa MTV](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Shaa-MTV-300x194.jpg)
Masaa machache kabla video ya wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ haijatambulishwa rasmi kupitia MTV Base, muimbaji huyo ametupa kionjo kidogo.
Video hiyo imeongozwa na director wa Afrika Kusini, Justin Campos. Usikose kuitazama leo jioni (Nov.23) saa 12 kamili kupitia MTV Base ‘Spanking New’
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo501 Dec
Kassim Mganga aeleza sababu za kushindwa kushoot video ya ‘Subira’ Tanga kama alivyoahidi
![caa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/caa-300x194.jpg)
Mwezi April mwaka huu Kassim Mganga aliahidi kuwa video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella ingefanyika nyumbani kwao Tanga, lakini haikuwa hivyo.
Kassim ameeleza chanzo cha mpango wa kwenda kushoot Tanga kushindikana.
“Video ilikuwa twende kuifanyia Tanga lakini tulishindwa kutokana na nafasi ya Adam,” alisema Kassim kwenye mahojiano na Millard Ayo. “unajua nilikuwa nataka kuipata ile picha ya Pwani kabisa yenyewe halisia na nilitaka twende kuifanya Pangani nyumbani...
9 years ago
Bongo525 Nov
Video: Tazama kionjo cha toleo jipya la filamu ya ‘The Barbershop: The Next Cut’
![barbershopheader](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/barbershopheader-300x194.jpg)
Filamu ya comedy, ‘The Barbershop’ imerudi tena ikiwa na sura mpya ambazo hazikuwepo katika filamu zilizopita.
Waigizaji waliokuwepo toka filamu ya kwanza ni Ice Cube, Eve, Cedric The Entertainer na Anthony Anderson. Katika filamu mpya ‘The Barbershop: The Next Cut’ walioongezeka ni Nicki Minaj, Tyga na Comon. Inatarajiwa kutoka April 15, 2016.
Tazama trailer
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...
10 years ago
Bongo530 Jan
Video: Angalia kionjo cha video mpya ya Madee ‘Vuvula’
10 years ago
Bongo522 Aug
Video Teaser: Kionjo cha video mpya ya Professor Jay ‘Kipi Sijasikia’ (HD)
9 years ago
Bongo527 Oct
Video: Kionjo cha video mpya ya Harmonize ‘Aiyola’