Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Angalia kionjo cha video mpya ya Madee ‘Vuvula’

Rais wa Manzese, Madee atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya Vuvula February 7 kwenye kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Hata hivyo kipande kifupi alichoweka meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale kwenye Instagram kimevutia comments nyingi kutoka kwa mashabiki waliohoji kuhusu msichana anayecheza jikoni akiwa na nguo zenye utata […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Kassim Mganga ‘Subira’

Kassim-Mganga-serengeti-fiesta-Mbeya.

Kassim Mganga amekamilisha video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella, wimbo uliotoka mwanzoni mwa mwaka huu.

Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma inatarajiwa kutoka Ijumaa hii.

“Muda mrefu sana nimekuwa na kigugumizi juu ya majibu ya maswali yenu kuhusu video ya wimbo wenu pendwa wa #SUBIRA…kazi haikuwa ndogo kukamilisha hii video yote kupata video ya kiwango kinachohitajika machoni mwenu wadau..kazi imekamilika shukran kwa subira yenu wadau,in shaa Allah Ijumaa hii...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Belle 9 — ‘Shauri Zao’

Belle 9 amekamilisha video ya wimbo wake ‘Shauri Zao’ iliyoongozwa na Hanscana. Lakini kabla hajaiachia rasmi, msanii huyo kutoka mji kasoro bahari, Morogoro amekupa kionjo cha sekunde 15 cha video hiyo. Itazame Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Nonini aliyomshirikisha Chege — Wanajishuku

Rapper wa Kenya, Hubert “Nonini” Nakitare au kama anavyopenda kujiita Godfather wa Genge, anakaribia kuachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Wanajishuku’ aliomshirikisha staa wa Tanzania, Chege Chigunda. Chege na Nonini ni washkaji wa muda mrefu ambao wamekuwa wakishirikiana katika kazi mbalimbali, na hii ni moja ya kazi ambazo wamekuwa wakifanya. Kwenye wimbo huu pia ameshirikishwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Video Teaser: Kionjo cha video mpya ya Professor Jay ‘Kipi Sijasikia’ (HD)

Joseph Haule aka Professor Jay yuko mbioni kuachia video ya single yake ‘Kipi Sijaskia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Hiki ni kionjo cha video hiyo ambayo imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Shaa ‘Toba’ iliyoongozwa na Justin Campos

Shaa MTV

Masaa machache kabla video ya wimbo mpya wa Shaa ‘Toba’ haijatambulishwa rasmi kupitia MTV Base, muimbaji huyo ametupa kionjo kidogo.

Video hiyo imeongozwa na director wa Afrika Kusini, Justin Campos. Usikose kuitazama leo jioni (Nov.23) saa 12 kamili kupitia MTV Base ‘Spanking New’

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Kionjo cha video mpya ya Harmonize ‘Aiyola’

Msanii mpya wa label ya WCB inayomilikiwa na superstar Diamond Platnumz, Harmonize amewaonjesha mashabiki sekunde 11 za video yake ya kwanza ‘Aiyola’ aliyoenda kushoot Afrika Kusini. Wiki iliyopita Harmonize alisema kuwa video hiyo tayari imekamilika na muda wowote kuanzia sasa inaweza kuachiwa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Kionjo cha video ya wimbo mpya ya Quick Rocka ‘Queen’ iliyoongozwa na Khalfani na Raqey

Quick Rocka amefanya video mpya na muongozaji aliyefanya video yake iliyopita, Khalfani na safari hii wameongeza nguvu ya director mwingine wa I-View studios Raqey. Katika akaunti yake ya Instagram Quick ameshare kionjo cha video hiyo ya wimbo wake mpya uitwao ‘Queen’ na kuandika “#NewVideoAlert#NewSongAlert….Mbeya City yo boy is coming.#Oct17#Queen# @director_khalfani & @raqey_allaraqya on this one.” […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani