Shaa azungumzia ukimya wake na ujio wa kazi zake mpya
Katika kipindi cha miezi ya hivi karibuni, Shaa amekuwa kimya. Hata hivyo amesema ukimya huo umetokana na kubanwa na kazi za kimaitaifa ambazo zilikuwa zikimhitaji kusafiri. Shaa ameiambia Bongo5 kuwa, sasa amerudi rasmi nyumbani na anajipanga kuachia kazi mpya hivi karibuni. “Natoa wimbo na video wangu mpya tarehe 7 mwezi wa 11, ambayo pia ni […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Vijimambo24 Sep
Babu Tale azungumzia ujio mpya wa Diamond, kazi zote zimetayarishwa nje

10 years ago
GPL06 Jul
11 years ago
Bongo519 Aug
Ommy Dimpoz azungumzia ukubwa wa Ndagushima, ujio mpya na collabo ya kimataifa
Muimbaji wa ‘Ndagushima’, Ommy Dimpoz ameeleza sababu iliyoufanya wimbo wake ‘Ndagushima’ kutofanya vizuri mapema kama mashabiki wake walivyozoea kwenye nyimbo zake zilizopita huku akitoa faida na hasara ya wimbo kufanya vizuri mapema. Ommy ameiambia Bongo5 kuwa wimbo wa Ndagushima ulianza vibaya mpaka watu wake wa karibu wakamshauri atoe wimbo mpya mapema. “Katika nyimbo zangu nilizowahi […]
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPLQ - CHILA AFUNGUKA UJIO WAKE MPYA
Nguli wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akifunguka ndani ya studio za Global TV Online. TUNAENDELEA na simulizi ya staa wa Bongo Fleva, Aboubakar Shaaban Katwila ‘Q- Chillah’, wiki iliyopita iliishia pale alipoelezea juu ya kilichomtokea katika msiba wa msanii wa filamu, Adam Kuambiana, alisema marehemu ndiye aliyegundua kipaji chake cha kuigiza, songa nayo sasa…
(Anainamisha kichwa...
10 years ago
GPLQ-CHILLAH AAHIDI MAKUBWA UJIO WAKE MPYA!
Q-Chillah akielezea namna alivyojipanga kwa ujio wake mpya. Kushoto ni Meneja wake, QS. Mhonda. Muandaaji wa hafla hiyo, DJ Bavon (aliyesimama) akitoa ufafanuzi.…
10 years ago
Bongo510 Nov
Kumbe video mpya ya Shaa ‘Njoo’ ina pacha wake ‘from another director’, tazama wanavyofanana!
Ule msemo wa ‘duniani wawili wawili’ umejidhihirisha hata kwenye video mpya ya mwanadada Shaa ya wimbo wake ‘Njoo’, aliomshirikisha staa wa Kenya Redsan. Video ya Shaa iliyoongozwa na director Enos Olik wa Kenya ina mfanano na video ya wimbo wa msanii Melanie Fiona ‘This Time’ aliomshirikisha J.Cole ambayo ilitoka Jun 18, 2012. Zitazame video zote […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania