Babu Tale azungumzia ujio mpya wa Diamond, kazi zote zimetayarishwa nje
Wakati wimbo wa MdogoMdogo ukiwa bado unasumbua kwenye media, Diamond Platinumz anatarajia kurusha mawe mengine mazito zaidi kwa ajili ya kuwaburudisha mashabiki wake.Akiongea na tovuti ya Times Fm, Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond amesema mkali huyo anatarajia kuachia nyimbo mbili kwa mpigo na kwamba zote zimetayarishwa nje.“Tusubirie kidogo, baada ya miezi miwili mitatu tutaongea kwa sababu kuna kazi zinakuja, Diamond anarelease ngoma mbili mfululizo na zote zimetoka nje. Lakini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Oct
Shaa azungumzia ukimya wake na ujio wa kazi zake mpya
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Babu Tale: Diamond hajapokea fedha za Lowassa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.
Alisema hata hivyo...
10 years ago
GPLDIAMOND ASAKWA MAZISHI YA BABA WA BABU TALE
10 years ago
GPLBABU TALE, KWA HILI LA DIAMOND UMEBUGI!
9 years ago
Bongo530 Oct
Babu Tale adai anatamani kufanya kazi tena na Z Anto
10 years ago
Michuzi10 years ago
Bongo515 Aug
Babu Tale: Sidhani kama kuna beef kati ya Diamond na Alikiba
9 years ago
Bongo523 Nov
Diamond hana mpango wa kufanya nyimbo za Kiingereza – Asema meneja wake Babu Tale
Muziki ni lugha ya dunia, ndio sababu kuna wanamuziki wengi wanaimba lugha za kwao lakini bado wanafanya vizuri katika nchi nyingine zisizoongea lugha hizo.
Diamond Platnumz ametokea kuwa balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili, kwasababu mafanikio aliyonayo sasa ya kufanya vizuri ndani na nje ya Afrika yametokana na nyimbo za Kiswahili alizotoa hadi sasa.
Baada ya kugundua kuwa kinachoweza kusababisha wimbo upendwe kimataifa sio lugha, hit maker huyo wa ‘Nana’ hana mpango kabisa wa kurekodi...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
TBT:Picha 10 za Diamond Platnumz, Nancy Sumary, Babu Tale, Izzo, Ommy Dimpoz, Rais MAGUFULI enzi hizo….
Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi miaka kadhaa iliyopita. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa […]
The post TBT:Picha 10 za Diamond Platnumz, Nancy Sumary, Babu Tale, Izzo, Ommy Dimpoz, Rais MAGUFULI enzi hizo…. appeared first on...