Video mpya ya Linah “Ole Themba” aliyofanyia nchini Afrika Kusini hii hapa
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo514 Jul
Video: Teaser ya video mpya ya Linah ‘Ole Themba’ aliyoshoot Afrika Kusini na director GodFather
Baada ya Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz na wasanii wengine wachache wa Tanzania kuanza kutafuta upenyo wa kulikamata soko la kimataifa, msanii wa kike Linah Sanga naye ameongezeka kwenye orodha hiyo. Hivi karibuni Linah alikuwa nchini Afrika Kusini ambako alifanikiwa kurekodi nyimbo kadhaa na maprodyuza wa huko akiwa chini ya usimamizi wake mpya. Licha ya kurekodi […]
11 years ago
Bongo517 Jul
New Video: Linah — Ole Themba
Hatimaye video mpya ya Linah aliyoifanya Afrika Kusini na muongozaji GodFather imeachiwa rasmi. Wimbo unaitwa ‘Ole Themba, video na audio vyote vimefanyika Afrika Kusini. Linah ambaye kwa sasa ana uongozi mpya uitwao No Fake Zone Entertainment (NFZ), jana ameagwa rasmi na Tanzania House of Talenta (THT) iliyompika na kumlea hadi alipopata jina na kuanza kujitegemea.
11 years ago
GPL17 Jul
11 years ago
Bongo522 Jul
Video: Linah azungumzia video ya Ole Themba, aeleza sababu ya kuonesha utamaduni wa kizulu
Linah amesema uamuzi wa kutumia utamaduni wa kizulu kwenye video yake ya ‘Ole Themba’ (‘tumaini’ kwa Kiswahili), ni kutanua soko la muziki na pia Afrika Kusini ni kama ndugu wa Tanzania hivyo anaamini kubalishana utamaduni ni jambo jema. Akiongea kwenye mahojiano na Bongo5, Linah amesema video ya wimbo huo imeigharimu kampuni inayomsimania, No Fake Zone, […]
10 years ago
Bongo507 Oct
Linah adai $30,000 walizompa Godfather kushoot video ya ‘Ole Themba’ zilimuuma
Kutoa shilingi milioni 49,800,000 na kumkabidhi muongozaji wa video wa Afrika Kusini, Godfather kushoot video ya ‘Ole Themba’ ni kitu ambacho Linah hakukifanya kirahisi. Linah ameiambia Bongo5 kuwa wakati anakabidhi pesa hiyo kwa director huyo aliona kama anazitoa. “Godfather tulimkabidhi $15,000 mbele ya mashahidi na baada ya hapo tukamalizia tena dola $15,000 jumla ikawa $30,000 […]
11 years ago
Bongo517 Jul
New Music: Linah — Ole Themba
Mwanadada Linah amechia ngoma Mpya inaitwa “Ole Themba” imefanyika katika Studio za Uhuru nchini South Afrika nahii ngoma imendikwa na Nash Designer na Lina saiv kazi zake anasimamiwa na No Fake Zone Entertainment
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Linah akumbuka Dola 47,000 za Ole Themba
Mwimbaji aliyetamba na video ya “Ole Thembaâ€, Linah Sanga amesema kuwa ili kuwa msanii wa kimataifa kuna gharama kubwa tofauti na wengi wanavyodhani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania