Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauaji ya wazee yazidi nchini

LICHA kuwepo jitihada za serikali kupambana na mauaji ya vikongwe nchini kipindi cha mwaka 2012, lakini zaidi ya 600 waliuawa kutokana na imani za kishirikina. Hayo yalibainishwa jana na Mratibu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE

Baraza la Wazee mkoa wa Shinyanga limeipongeza Serikali ya mkoa huo, kupunguza tatizo la mauaji ya wazee pamoja na watu wenye ualbino, ambao walikuwa akiuawa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina.


Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu.  Akisoma...

 

11 years ago

Mwananchi

Mauaji yazidi kutikisa Tarime

Hali ya usalama Tarime imezidi kutoweka baada ya jambazi lisilofahamika likiwa na bunduki ambayo haijafahamika aina yake kuendelea kuua watu kwa risasi hasa wa jinsi ya kiume, ambapo idadi ya waliouawa imefikia saba hadi sasa na inadaiwa huwaua watu na kupotea bila kutambuliwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mauaji yazidi kutikisa Kiteto

Mapigano baina ya wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara, yameendelea tena, ambapo watu wengine wawili wamefariki dunia jana na kufanya idadi ya waliouawa kuwa saba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mauaji ya vikongwe yazidi kutikisha Bukombe

Wakazi wawili wa Kijiji cha Iyogelo, Kata ya Lulembela, wilayani Mbogwe, mkoani Geita, Mariamu Mulahi (70) na Helena Mulekwa (42) wameuawa kwa kukatwa mapanga.

 

10 years ago

Vijimambo

Mauaji yazidi kutikisa Kiteto....Waliopoteza uhai Wafikia 7

Mapigano baina ya wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara, yameendelea tena, ambapo watu wengine wawili wamefariki dunia jana na kufanya idadi ya waliouawa kuwa saba. Awali, Novemba 11, mkulima Hassan Kondeja mkazi wa Kitongoji cha Bwawani Kijiji cha Matui aliuawa kwa kukatwa shingo na wafugaji na ndipo yakatokea mauaji ya wakulima wawili na wafugaji wawili. Akizungumza na mwandishi wetu, Kamanda wa polisi wa Mkoa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki alisema wakulima wawili wameuawa...

 

9 years ago

StarTV

MAUAJI YA WAZEE: Ramli, mirathi, ushirikina vyatajwa kuchangia

 

Imani za kishirikina, ramli chonganisha, mirathi, ardhi, mihemuko ya Imani za mapepo kwa baadhi ya Imani za dini pamoja na   kukosekana kwa elimu ya afya katika maeneo ya vijijini kunasababisha wanawake  wazee kuuwawa kwa kukatwa mapanga kwa kutuhumiwa kuwa ni wachawi

Hayo yamebainika katika semina ya kujadili chanagamoto zinazowakabili wazee wa mikoa ya kanda ya ziwa pamoja na kuangalia  mswaada wa sheria ya wazee utakaowawezesha kupata mahitaji yao ya lazima ili weweze kuishi maisha bora...

 

10 years ago

Vijimambo

Mafuta yazidi kushuka bei nchini

Dar es Salaam. Bei ya mafuta ya petroli, dizeli na ya taa nchini inazidi kushuka kutokana na kuporomoka kwa bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia tangu Juni mwaka jana.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi alisema jana kuwa bei ya rejareja ya petroli kuanzia leo imeshuka kwa Sh74, dizeli kwa Sh62 na mafuta ya taa kwa Sh54.Bei hizo zinashuka wakati kukiwa na mjadala mkali kuwa bei zilizopo sasa hazisadifu hali halisi ya kuporomoka kwa mafuta...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yazidi kuhimiza mashine za EFD nchini

UJIO wa mashine za kielektroniki za kutolea risiti za kodi (EFDs) nchini ni ukombozi wa ukusanyaji wa mapato ya nchi yaliyokuwa yakipotea na kulinyima taifa mapato. Mamlaka ya Mapato Tanzania...

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yawaua raia 300 wa Yazidi nchini Iraq

Maafisa nchini Iraq wanasema kuwa wanamgambo wa IS wamewaua mamia ya watu wa yazidi waliokuwa wakiwazuilia eneo lililo kaskazini mwa nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani