Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauaji yazidi kutikisa Tarime

Hali ya usalama Tarime imezidi kutoweka baada ya jambazi lisilofahamika likiwa na bunduki ambayo haijafahamika aina yake kuendelea kuua watu kwa risasi hasa wa jinsi ya kiume, ambapo idadi ya waliouawa imefikia saba hadi sasa na inadaiwa huwaua watu na kupotea bila kutambuliwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mauaji yazidi kutikisa Kiteto

Mapigano baina ya wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara, yameendelea tena, ambapo watu wengine wawili wamefariki dunia jana na kufanya idadi ya waliouawa kuwa saba.

 

10 years ago

Vijimambo

Mauaji yazidi kutikisa Kiteto....Waliopoteza uhai Wafikia 7

Mapigano baina ya wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara, yameendelea tena, ambapo watu wengine wawili wamefariki dunia jana na kufanya idadi ya waliouawa kuwa saba. Awali, Novemba 11, mkulima Hassan Kondeja mkazi wa Kitongoji cha Bwawani Kijiji cha Matui aliuawa kwa kukatwa shingo na wafugaji na ndipo yakatokea mauaji ya wakulima wawili na wafugaji wawili. Akizungumza na mwandishi wetu, Kamanda wa polisi wa Mkoa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki alisema wakulima wawili wameuawa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabomu yazidi kutikisa Arusha

>Milipuko ya mabomu nchini inazidi kuongezeka baada ya bomu jingine kulipuka mjini Arusha na kujeruhi vibaya watu wanane wenye asili ya Kiasia katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine ulioko eneo la Arusha Gymkhana.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 10 wahojiwa kwa mauaji Tarime

Watu 10 wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano baada ya kukamatwa na msako wa kikosi kazi kwa kushirikiana na Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, baada ya kutokea kwa mauaji ya hivi karibuni wilayani Tarime dhidi ya mtu asiyefahamika wala aina ya bunduki yake.

 

10 years ago

Habarileo

Raia wa Kenya afanya mauaji baa Tarime

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Lazaro MambosasaMTUHUMIWA wa vitendo vya ujambazi kutoka Kijiji cha Masangura, Wilaya ya Kurya West nchi jirani ya Kenya, Chacha Marwa Gibai maarufu kama Mapengo anashikiliwa na polisi katika Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya akituhumiwa kuua mtu kwa kumchoma kisu na kujeruhi mwingine kwa kisu katika vurugu aliyoianzisha baa mjini hapa.

 

9 years ago

Mwananchi

Tume ya Uchaguzi yalaani mauaji wakati wa kampeni Tarime

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema imepokea kwa masikitiko taarifa za kutokea kwa mauaji katika Kijiji cha Mangucha, Wilaya ya Tarime wakati wa kampeni za uchaguzi ambapo mkazi wa kijiji hicho, Mwita Waitegi aliuawa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mauaji ya wazee yazidi nchini

LICHA kuwepo jitihada za serikali kupambana na mauaji ya vikongwe nchini kipindi cha mwaka 2012, lakini zaidi ya 600 waliuawa kutokana na imani za kishirikina. Hayo yalibainishwa jana na Mratibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mauaji ya vikongwe yazidi kutikisha Bukombe

Wakazi wawili wa Kijiji cha Iyogelo, Kata ya Lulembela, wilayani Mbogwe, mkoani Geita, Mariamu Mulahi (70) na Helena Mulekwa (42) wameuawa kwa kukatwa mapanga.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamko la THBUB kulaani mauaji na matukio ya uvunjifu wa sheria huko Tarime

Makao makuu ya THBUB_Luthuli st. DSM

Makao makuu ya THBUB barabara ya Luthuli jijini Dar.

Mhe. Bahame Nyanduga

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Nyanduga.

Tamko la THBUB_Kulaani mauaji na uvunjifu wa sheria.doc 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani