Ukeketaji watua England
Kwa mara ya kwanza tabia ya ukeketaji wa wanawake imegunduliwa England
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-oBf6s-48sts/VoxcdBDvnfI/AAAAAAAAEZk/muLjmu2JYOc/s72-c/rooney-537054.jpg)
SUPPORTERS NAME ENGLAND CAPTAIN WAYNE ROONEY ENGLAND PLAYER OF THE YEAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-oBf6s-48sts/VoxcdBDvnfI/AAAAAAAAEZk/muLjmu2JYOc/s1600/rooney-537054.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Ukeketaji bado tatizo
UKEKETAJI ni mila potofu inayodhaniwa kwamba ikifanywa ni heshima pindi mwanamke atakapoolewa. Lakini ukeketaji una madhara kwa wanaofanyiwa, ikiwemo maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kutokana na kuchangia nyenzo za...
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Ukeketaji wahamishiwa Uingereza
10 years ago
Habarileo23 Mar
Wazee 60 Tarime kujadili ukeketaji
JUHUDI za kumaliza tatizo la ukeketaji katika wilaya ya Tarime zimeendelea kuzaa matunda, baada ya wazee wa mila 60 kukutana kukubali kuhudhuria semina inayolenga kutokomeza mila hiyo katika maeneo yao.
9 years ago
Habarileo15 Nov
Juhudi binafsi kuondoa ukeketaji
JAMII ya wafugaji imetakiwa kutumia juhudi zao binafsi kubadilisha mawazo na imani ya jamii, kwamba mila na desturi hazibadiliki ili kutengeneza mfumo bora mpya unaothamini maisha ya wanawake.
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Kwanini ni vigumu kuacha ukeketaji?
MKATABA wa Haki ya Mtoto unasema kwamba Maendeleo ya mtoto yanahusu ukuaji wake kimwili, kiakili, kimaadili na kiroho. Haki ya Elimu, Watoto na Ajira, Elimu ya Uhusiano wa wasichana na...
10 years ago
Habarileo21 Mar
EU yaanzisha mradi kukomesha ukeketaji
UMOJA wa Ulaya (EU) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Plan umeanza mradi maalumu wa miaka miwili katika wilaya ya Tarime mkoani Mara, kuzuia ndoa za utotoni na vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike utakaogharimu zaidi ya Euro 400,000.
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Ukeketaji wapungua wilaya ya Ngorongoro
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ambaye pia ni Afisa Maendeleo ya Jamii, Teresia Irafay akifungua warsha ya wiki moja ya mafunzo juu ya elimu ya Afya ya Uzazi na Maadili iliyojumuisha wakunga wa Jadi, Waganga wa tiba asili, viongozi wa dini, waandishi wa habari na wahamasishaji afya jamii iliyowaleta pamoja wadau mbalimbali katika ngazi ya vitongoji, vijiji na wilaya kujifunza namna ya kufanya kazi shirikishi ili kuleta mabadiliko katika jamii...
10 years ago
Habarileo13 Oct
Ukeketaji bado watesa Tarime
WATOTO wa kike wilayani Tarime mkoani Mara, bado wameendelea kuandamwa na matukio ya ukatili dhidi yao, licha ya kampeni za mara kwa mara za kupiga vita ukatili na matukio mengine yanayofanywa kutokana na imani katika mila potofu.