Juhudi binafsi kuondoa ukeketaji
JAMII ya wafugaji imetakiwa kutumia juhudi zao binafsi kubadilisha mawazo na imani ya jamii, kwamba mila na desturi hazibadiliki ili kutengeneza mfumo bora mpya unaothamini maisha ya wanawake.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Juhudi binafsi zinatakiwa kumaliza ukeketaji, unyanyasaji kijinsia – Rose Haji Mwalimu
Afisa Maendeleo ya Jamii (W) Ngorongoro, Teresia Irafay (wa pili kushoto) akiitambulisha meza kuu kabla ya kumkaribisha Katibu Tawala wa Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kileo, (wa tatu kulia) kufungua kongamano la viongozi wa mila wa kabila la wamasai (Laigwanan/Ngaigwanani) na wanawake Mashuhuri yenye lengo la kushawishi uondoaji wa mila potofu zinazorudisha nyuma maendeleo katika jamii za wafugaji. Kushoto ni Mtaalamu wa masuala ya vyombo vya habari vya kijamii na Mkufunzi kutoka (UNESCO),...
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Ukeketaji wahamishiwa Uingereza
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Ukeketaji bado tatizo
UKEKETAJI ni mila potofu inayodhaniwa kwamba ikifanywa ni heshima pindi mwanamke atakapoolewa. Lakini ukeketaji una madhara kwa wanaofanyiwa, ikiwemo maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kutokana na kuchangia nyenzo za...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Kwanini ni vigumu kuacha ukeketaji?
MKATABA wa Haki ya Mtoto unasema kwamba Maendeleo ya mtoto yanahusu ukuaji wake kimwili, kiakili, kimaadili na kiroho. Haki ya Elimu, Watoto na Ajira, Elimu ya Uhusiano wa wasichana na...
10 years ago
Habarileo28 Mar
Ukeketaji wa siri wafadhaisha jamii
JAMII ya wafugaji wa kabila la Kimasai kutoka mikoa ya Pwani na Morogoro wamesikitishwa na vitendo vya ukeketaji watoto wao wa kike vinavyofanyika kwa usiri.
10 years ago
Habarileo27 Oct
Wazee waapa kuacha ukeketaji
WAZEE wa kimila kutoka koo zote za kabila la Wakurya wilayani Tarime, wamekubaliana mbele ya Mkuu wa wilaya Tarime, John Henjewele, kuacha kukeketa watoto wa kike.
10 years ago
Habarileo21 Mar
EU yaanzisha mradi kukomesha ukeketaji
UMOJA wa Ulaya (EU) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Plan umeanza mradi maalumu wa miaka miwili katika wilaya ya Tarime mkoani Mara, kuzuia ndoa za utotoni na vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike utakaogharimu zaidi ya Euro 400,000.
10 years ago
Habarileo14 Mar
Wanawake milioni 8 wafanyiwa ukeketaji
SERIKALI imesema wasichana na wanawake milioni 7.9 nchini wamekeketwa licha ya kuwepo sheria ambayo inazuia vitendo hivyo na kwamba hali hiyo inachangiwa na baadhi ya watendaji wa serikali kutokuwa tayari kumaliza tatizo hilo.