Wanawake milioni 8 wafanyiwa ukeketaji
SERIKALI imesema wasichana na wanawake milioni 7.9 nchini wamekeketwa licha ya kuwepo sheria ambayo inazuia vitendo hivyo na kwamba hali hiyo inachangiwa na baadhi ya watendaji wa serikali kutokuwa tayari kumaliza tatizo hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Watoto milioni 120 wafanyiwa ukatili duniani
11 years ago
Michuzi27 Jun
Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji — Waziri Sophia Simba
![Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0064.jpg)
![Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_00541.jpg)
![Washiriki Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0081.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Feb
RC Dk. Kone ataka wanawake Singida wawezeshwe kiuchumi ili kuachana na vitendo vya ukeketaji
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye ufungaji wa kongamano la siku mbili la ukeketaji lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Katala Hotel Beach mjini Singida. Kongamano hilo lilihudhuriwa na wadau kutoka mikoa mitano hapa nchini ukiwemo wa Singida. Kongamano hilo lililoratibiwa na TAMWA na UNFPA, kwa kauli moja pamoja na mambo mengine, limeazimia kuongeza mapambano dhidi ya ukeketaji na kuitaka jamii katika mikoa yote nchini kuondokana na mila potofu na...
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Efm kuwazawadia milioni moja wanawake
NA ASIFIWE GEORGE
REDIO ya Efm kupitia kipindi chake kipya cha Uhondo imeandaa shindano maalumu la kanga kwa ajili ya wanawake wanaosikiliza redio hiyo.
Shindano hilo litaanza Septemba 14 hadi Oktoba 5, mwaka huu, likiwa na lengo la kuwahamasisha wanawake wafuatilie kipindi hicho kwa kuwa kina faida nyingi kwao.
Msemaji wa redio hiyo, Dennis Sebbo, alisema washiriki wa shindano hilo watatakiwa kubuni maneno ya kanga kupitia kipindi cha Uhondo na maneno yanatakiwa yawe na neno Uhondo, mfano;...
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Wasichana na wanawake milioni 130 wakeketwa barani Afrika na mashariki ya kati
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Sofia Simba (Mb), akizungumza kwenye ufunguzi wa kongamano la siku mbili la maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji linalofanyika mjini Singida. Pamoja na mambo mengine, Waziri Simba, amewataka wafanyakazi wa afya wanaojishughulisha na vitendo vya ukeketaji kuacha mara moja vitendo hivyo kwa madai ni kinyume na haki za binadamu.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
WAZIRI wa Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UKGEhBwGJyc/XmYK03GPH2I/AAAAAAALiLI/JfBrpfgN6IEBnRUBOpD7dwy_TCuH0PsEQCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
KALIUA YATOA MKOPO WA MILIONI 345 KWA VIKUNDI 57 KATIKA KUSHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imekabidhi mkopo wa shilingi milioni 345 kwa vikundi 57 ikiwa ni sehemu ya asilimia 10 ya mapato yake ya ndani katika mwaka wa fedha unaoendelea.
Taarifa hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Dkt. John Pima wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kimkoa yalifanyika jana Wilayani humo.
Alisema kati ya fedha hizo vikundi 28 vya wanawake vimepokea milioni 184, vikundi 19 vya vijana vimekopeshwa 133.5 na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-azEL92owoJ4/Xrb-nv6PTqI/AAAAAAALpoM/wdZ3V1zEzOcZrvQFlj2Dhp_xu44btlJ0wCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-09%2Bat%2B8.09.20%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
MTANDAO WA VIONGOZI WANAWAKE WAKABIDHI VIFAA VYA CORONA VYA SH MILIONI TANO GEREZA LA ISANGA DODOMA
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, mmoja wa Waanzilishi wa mtandao huo, Beatrice Kimoleta amesema hatua hiyo wameifanya ikiwa ni kuunga mkono kwa vitendo juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kupambana na ugonjwa wa Corona.
“ Mhe....
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Ufalme wa Saudia wafanyiwa mabadiliko
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Mawaziri wafanyiwa mabadiliko Sudan