RC Dk. Kone ataka wanawake Singida wawezeshwe kiuchumi ili kuachana na vitendo vya ukeketaji
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye ufungaji wa kongamano la siku mbili la ukeketaji lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Katala Hotel Beach mjini Singida. Kongamano hilo lilihudhuriwa na wadau kutoka mikoa mitano hapa nchini ukiwemo wa Singida. Kongamano hilo lililoratibiwa na TAMWA na UNFPA, kwa kauli moja pamoja na mambo mengine, limeazimia kuongeza mapambano dhidi ya ukeketaji na kuitaka jamii katika mikoa yote nchini kuondokana na mila potofu na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Jan
Dk Nagu ataka wananchi wawezeshwe kiuchumi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amesema kazi ya kuwawezesha wananchi kiuchumi si ya serikali pekee na kuwataka wadau mbalimbali na taasisi za fedha kutumia sehemu ya faida yake kuwasaidia wananchi kujikwamua kiuchumi.
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Uzazi wa mpango utekelezwe na familia kwa vitendo, ili kustawi vyema na kuimarika kiuchumi
Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Singida, Aziza Mumba akikata utepe kuzindua nyota mpya ya kijani.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Aziza Mumba akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Singida wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya nyota ya kijani kwenye viwanja vya peoples Mjini Singida.
Kaimu Mganga mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Mussa Kimala akizungumza kwenye sherehe hizo.
Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Martha Shekinyau akizungumza kwenye uzinduzi huo kwa niaba ya...
10 years ago
Habarileo08 Feb
‘Vitendo vya ukeketaji bado tatizo sugu’
VITENDO vya ukeketaji bado ni tatizo sugu, kutokana na baadhi ya watoa huduma za afya kushiriki kusaidia jambo hilo.
10 years ago
Dewji Blog03 Dec
Dkt. Kone asema maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI mkoani Singida yazidi kuongezeka
Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida na mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI yaliyofanyika katika kijiji cha Sepuka wilaya ya Ikungi.Kaimu mkuu huyo wa mkoa, amesema kuwa jumla ya waathirika wa VVU 17,720 mkoani hapa, 12,286 wameandikishwa kwa ajili ya kupatiwa dawa za kufumbaza virusi vinavyosababisha ugonjwa hatari wa UKIMWI.
Na Nathaniel Limu.
Jumla ya watu 17,720 mkoani Singida wanaoishi na Virusi vya Ukimwi walioandikishwa hadi...
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Mtoto wa miaka 6 afanyiwa vitendo vya kinyama abakwa na kunyongwa Singida
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka sita mkazi wa kitongoji cha Maweni kijiji cha Mayaha kata ya Minyughe tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida,Samaka Matawa,amefariki dunia baada ya kubakwa na kisha kunyongwa shingo.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP,Thobias Sedoyeka, alisema tukio hilo la kusikitisha na la...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Vitendo vya kikatili adha inayowakumba wanawake
UKIZUNGUMZIA ukatili wa kijinsia, akili za watu wengi zinajikita katika unyanyasaji wa wanawake. Hali hiyo inatokana na ukweli kuwa ukatili wa kijinsia kwa kiwango kikubwa huwakumba wanawake kuliko wanaume. Lakini...
5 years ago
CCM BlogWANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO SERIKALI DHIDI YA VITENDO VYA KIKATILI HASA KWA WANAWAKE NA WTOTO
Mkuu wa mkoa huyo ameyasema hayo jana mkoani humo wakati akiupokea Msafara wa Kijinsia kutokomeza ukatili unaolenga kutoa elimu kwa jamii kuhusu madhara ya kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Kitaifa Simiyu Machi 08,...
5 years ago
MichuziMsafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani wazinduliwa rasmi mkoani Katavi.
Msafara wa kijinsia unaolenga kutokomeza vitendo vya kikatili kuelekea Siku ya Wanawake Duniani umezinduliwa rasmi mkoani Katavi.
Akizungumza wakati akizindua Msafara huo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Zuberi Homera amesema kuwa vitendo vya kikatili vimekuwa vikishamiri kila siku katika jamii zetu hivyo vinatakiwa kupatiwa mbinu ya kupambana navyo.
Ameongeza kuwa Serikali haiwezi kuvumilia kuona wanawake na watoto wanafanyiwa vitendo vya kikatili hivyo itahakikisha...
5 years ago
MichuziRC SINGIDA ATAKA UADILIFU UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI AWAMU YA PILI 2020
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (katikati) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo vitambulisho vya Wajasiriamali Awamu ya pili 2020 vilivyotolewa na Rais Dkt. John Magufuli mkoani hapa jana. Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Angelina Lutambi. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (katikati) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Rahabu Mwagisa vitambulisho vya Wajasiriamali Awamu ya pili 2020.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (katikati)...