Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Efm kuwazawadia milioni moja wanawake

sebbo 2NA ASIFIWE GEORGE

REDIO ya Efm kupitia kipindi chake kipya cha Uhondo imeandaa shindano maalumu la kanga kwa ajili ya wanawake wanaosikiliza redio hiyo.

Shindano hilo litaanza Septemba 14 hadi Oktoba 5, mwaka huu, likiwa na lengo la kuwahamasisha wanawake wafuatilie kipindi hicho kwa kuwa kina faida nyingi kwao.

Msemaji wa redio hiyo, Dennis Sebbo, alisema washiriki wa shindano hilo watatakiwa kubuni maneno ya kanga kupitia kipindi cha Uhondo na maneno yanatakiwa yawe na neno Uhondo, mfano;...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

EFM YAKABIDHI KITITA CHA SH. MILIONI MOJA KWA SHINDI WA SHINDANO LA KUBUNI MANENO YA KANGA

 Meneja  wa Mawasiliano  Efm, Denis Ssebo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kumpata mshindi wa  shindano la kubuni maneno ya Kanga kupitia kipindi cha UHONDO ambacho huruka hewani kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa sita mchana hadi saa tisa alasiri, kikiwa na Matangazaji mahiri Dina Marios, kikao hicho kimefanika leo jijini Dar es Salaam, katikati ni mshindi wa shindano hilo Sekela Richard na wakulia ni Matangazaji wa Efm  Radio Dina Marios. Matangazaji...

 

9 years ago

Vijimambo

EFM YAANZISHA SHINDANO LA KANGA KWA WANAWAKE KUPITIA KIPINDI CHA UHONDO

 Ofisa Habari, Lydia Moyo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati akimkaribisha Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo  kuzungumza na wanahabari. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu shindano lililoanzishwa na redio hiyo la Kanga kupitia kipindi cha Uhondo kwa ajili ya wanawake wote wasikilizaji wa redio hiyo ambalo limeanza rasmi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fastjet yasafirisha abiria wa milioni moja

Jimmy Kibati fastjets General Manager East Africa meeting Grace Makazi who received a pair of free tickets as the millionth fl

Meneja Mkuu wa Fastjet wa kanda ya Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto), akiwa na Grace Makazi ambaye alipokea ofa ya tiketi mbili za bure kama abiria wa milioni moja wa shirika hilo la ndege mara baada ya kutua jijini Dar esSalaam juzi, Shirika la Fastjet limetoa tiketi mbili za bure kwenda na kurudi mahali popote ndani ya nchi kwa abiria wake wa millioni moja.

Fastjet shirika la ndege la gharama nafuu limesafirisha abiria wake wa milioni moja, ndani ya kipindi cha miaka miwili tangu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magonjwa ya kuhara yaua milioni moja

WATU milioni 1.8 wanakufa kila mwaka duniani kutokana na magonjwa ya kuhara yanayosababishwa na kutokunywa majisafi na salama. Mkurugenzi wa shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na uboreshaji wa afya (HAPA)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kaya milioni moja kunufaika na Tasaf

WASTANI wa kaya milioni moja ambazo zinaishi katika hali duni ya umasikini nchini, zimelengwa kuwezeshwa katika kujikimu kimaisha katika utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini unaotekelezwa na Mfuko wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Times FM wapigwa faini ya milioni moja

KITUO cha Redio Times FM,kimetakiwa kulipa faini ya shilingi milioni moja baada ya kukiuka sheria ya utangazaji kwa kurusha vipindi vya ngono muda ambao haurusiwi. Hukumu hiyo ilitolewa jana jijini...

 

9 years ago

Bongo5

Tidal ya Jay Z yafikisha watumiaji milioni moja

Jay Z ana haki ya kusherehekea kwa mafanikio yaliyotokana na mtandao wake wa Tidal. Rapper huyo alitumia Twitter kutangaza kuwa mtandao huo wa kusikiliza nyimbo umefikisha watumiaji milioni moja. “Nothing real can be threatened, nothing unreal exists. TIDAL is platinum. 1,000,000 people and counting. Let’s celebrate 10/20 Brooklyn,” alitweet. Tangu ianzishwe, TIDAL imekuwa ikikumbana na […]

 

9 years ago

Vijimambo

WAADHIMISHA MIAKA 20 YA MAANDAMNO YA WANAUME MILIONI MOJA

Maelfu ya watu weusi, wake kwa waume, watoto na wazee, jana walikusanyika katika jiji la Washington kuadhimiasha miaka 20 ya Matembezi Ya Wanaume Milioni Moja (One Million Man March).Maelfu wa kimsikiliza Bwana Luis Farakhan Maadhimisho hayo yanakuja huku hasira na kauli za kutetea haki za kiraia zikiwa zinazidi kuongezeka miongoni mwa Wamarekani Wenye asili ya Kiafrika kufuatia matuko ya kuuwawa kwa vijana weusi katika mikono ya Polisi.
Makundi ya watu waliokuwa hawakupata nafasi ya kuona...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto milioni moja kupewa chanjo Mara

ZAIDI ya watoto milioni 1.8 wanatarajiwa kupatiwa chanjo, ikiwemo ya surua na rubella, matone ya vitamini A na dawa za minyoo katika Mkoa wa Mara katika kampeni iliyoanza Oktoba 18...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani