Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magonjwa ya kuhara yaua milioni moja

WATU milioni 1.8 wanakufa kila mwaka duniani kutokana na magonjwa ya kuhara yanayosababishwa na kutokunywa majisafi na salama. Mkurugenzi wa shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na uboreshaji wa afya (HAPA)...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mkatae jirani asiyekuwa na choo kutokomeza magonjwa ya kuhara

KAMPENI ya ‘Mkatae Jirani Asiyekuwa na Choo,’ kwa kushirikiana na makundi mbalimbali inalenga kuondoa tatizo la vyoo mkoani Singida. Sababu ya kuanza kwa kampeni hiyo ni kutokana na mvua kubwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Magonjwa ya zinaa yaongezeka kwa wapenzi wa jinsia moja

Maradhi ya zinaa yanayosambazwa miongoni mwa wapenzi wanaume wa jinsia moja inatamausha.

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watano wa familia moja

Watu watano wa familia moja wilayani  Ludewa, mkoa wa Njombe, wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Cresta walilokuwa wamepanda kuacha njia na kutumbukia mtoni.

 

11 years ago

CloudsFM

FUTARI YAUA WATATU WA FAMILIA MOJA

Watu watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Kwasunga wilayani Handeni wamekufa baada ya kula futari ya mihogo inayosadikiwa kuwa na sumu.Akizungumza na waandishi wa habari jana, kamanda wa polisi wa Mkoa wa Tanga, Constantine Massawe alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:00 usiku eneo la Kwasunga Handeni na maiti zimehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni.
Kamanda Massawe aliwataja waliokufa kuwa ni Juma Jumbe (6), Abdi Jumbe (10) na Ramadhani Jumbe (15). Pia alisema kuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Watu milioni tano waathirika magonjwa yasiyo na kipaumbele’

INAKADIRIWA takribani watu milioni 5 wameathirika na magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele yanayosababisha ukuaji duni kwa watoto, ulemavu, upungufu wa damu mwilini, upofu, uharibifu wa ngozi na saratani ya kibofu hapa...

 

5 years ago

Michuzi

TIMUZA DHARURA ZA KUKABILI MAGONJWA AMBUKIZI YA MLIPUKO ZATAKIWA KUTUMIA DHANA YAAFYA MOJA


Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Matamwe akisisitiza umuhimu wa kutumia Dhana ya Afya moja ambayo hujikita katika kujumuisha sekta zote za Afya katika kujiandaa, kufuatilia na kukabili magonjwa yanayomuathiri binadamu wakati wa mafunzo kwa timu za dharura za kukabili magonjwa ambukizi ya mlipuko leo, Jijini Dodoma, tarehe 17 Machi, 2020.Baadhi ya wataalamu wa sekta za Afya kutoka kwa timu za dharura za kukabili magonjwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fastjet yasafirisha abiria wa milioni moja

Jimmy Kibati fastjets General Manager East Africa meeting Grace Makazi who received a pair of free tickets as the millionth fl

Meneja Mkuu wa Fastjet wa kanda ya Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto), akiwa na Grace Makazi ambaye alipokea ofa ya tiketi mbili za bure kama abiria wa milioni moja wa shirika hilo la ndege mara baada ya kutua jijini Dar esSalaam juzi, Shirika la Fastjet limetoa tiketi mbili za bure kwenda na kurudi mahali popote ndani ya nchi kwa abiria wake wa millioni moja.

Fastjet shirika la ndege la gharama nafuu limesafirisha abiria wake wa milioni moja, ndani ya kipindi cha miaka miwili tangu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Times FM wapigwa faini ya milioni moja

KITUO cha Redio Times FM,kimetakiwa kulipa faini ya shilingi milioni moja baada ya kukiuka sheria ya utangazaji kwa kurusha vipindi vya ngono muda ambao haurusiwi. Hukumu hiyo ilitolewa jana jijini...

 

9 years ago

Mtanzania

Efm kuwazawadia milioni moja wanawake

sebbo 2NA ASIFIWE GEORGE

REDIO ya Efm kupitia kipindi chake kipya cha Uhondo imeandaa shindano maalumu la kanga kwa ajili ya wanawake wanaosikiliza redio hiyo.

Shindano hilo litaanza Septemba 14 hadi Oktoba 5, mwaka huu, likiwa na lengo la kuwahamasisha wanawake wafuatilie kipindi hicho kwa kuwa kina faida nyingi kwao.

Msemaji wa redio hiyo, Dennis Sebbo, alisema washiriki wa shindano hilo watatakiwa kubuni maneno ya kanga kupitia kipindi cha Uhondo na maneno yanatakiwa yawe na neno Uhondo, mfano;...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani