Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Watu milioni tano waathirika magonjwa yasiyo na kipaumbele’

INAKADIRIWA takribani watu milioni 5 wameathirika na magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele yanayosababisha ukuaji duni kwa watoto, ulemavu, upungufu wa damu mwilini, upofu, uharibifu wa ngozi na saratani ya kibofu hapa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kikwete ni rais wa watu milioni tano?

RAIS Jakaya Kikwete na Jaji Joseph Warioba wamejibizana kijanja, na wamenikumbusha mchuano wa urais mwaka 2005. Nikakumbuka jinsi Jaji Warioba alivyokuwa shabiki wa Dk. Salim Ahmed Salim, aliyekuwa anawania urais...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WAHARIRI KUHUSU MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE

 Mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele, Dkt. Upendo Mwingira akielezea jinsi Serikali inavyojitahidi kupambana na magonjwa hayo, ambayo   baadhia yake  ni Matende, Mabusha, Minyoo ya Tumbo, Kichocho, Trakoma na Usubi kwa baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari  katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii leo jijini Dares Salaam.Mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele, Dkt. Upendo Mwingira...

 

9 years ago

Michuzi

Wizara ya Afya yatangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Donan Mmbando akieleza kuhusu Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele mbele ya Waandishi wa Habari leo 17 Desemba, 2015.Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Donan Mmbando akionyesha aina ya dawa zinazotakiwa kugawiwa kwa umma wakati alipotangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele mbele ya Waandishi wa Habari leo...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 4 wa wadau wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele waanza leo jijini Arusha

Mgeni rasmi katika Mkutano wa 4 wa wadau wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele, Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Neema Rusibimayila, akifungua mkutano huo ulioanza leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Arusha, Jijini Arusha. Mradi huo wa kuwasaidia watu wenye magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele, umefika kwenye mikoa kumi na saba na wilaya 110 mwaka 2014.Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) toka Geneva nchini Uswiss, Denise Mupfason akielezea ushiriki...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Donan Mmbando  akieleza kuhusu Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele mbele ya Waandishi wa Habari jana 17 Desemba, 2015. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Donan Mmbando akionyesha aina ya dawa zinazotakiwa kugawiwa kwa umma wakati alipotangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele mbele ya Waandishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

Waathirika wa mafuriko mkoani Lindi wapata msaada wa thamani wa Sh.Milioni 30

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali ya China inayofanya kazi nchini  (Over Seas Chinese  Services Center) imetoa msaada kwa Wananchi waliopata maafa ya mafuriko mkoani Lindi.

Msaada huo umekabidhiwa kwa Chama cha Msalaba Mwekwendu Tanzania Red Cross wenye thamani ya sh.milioni 30.Akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa akikabidhi msaada huo Mkurugenzi wa Taasisi ya China Aston Yi amesema kuwa Tanzania ni China ni familia moja hivyo wanajibu wa kutoa msaada...

 

11 years ago

Habarileo

Milioni 100/- zahitajika Lindi kwa waathirika wa mvua, upepo

JUMLA ya Sh milioni 100 zinahitajika kufanya ukarabati wa shule za msingi, sekondari na zahanati wilayani Kilwa mkoani Lindi zilizoezuliwa bati na majengo kuharibiwa kutokana na mvua kali zilizoambatana na upepo mwezi huu.

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA QWIHAYA YATOA ZAIDI YA MILIONI 21 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO PAWAGA







Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa anaongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea msaada kutoka katika Kampuni ya QWIHAYA ya wilaya Mufindi kwa ajili ya wahanga wa mafuriko yaliyotokea katika kitongoji cha Mbingama mkoani Iringa.
Huu ndio msaada wa Mirunda ambayo itaenda kusaidia katika ujenzi wa makazi mapya kwa wananchi wa kitongoji cha Mbingama



NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

KAMPUNI ya QWIHAYA GENERAL CO LTD ya mkoani Iringa imetoa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 21 kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magonjwa ya kuhara yaua milioni moja

WATU milioni 1.8 wanakufa kila mwaka duniani kutokana na magonjwa ya kuhara yanayosababishwa na kutokunywa majisafi na salama. Mkurugenzi wa shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na uboreshaji wa afya (HAPA)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani