TIMUZA DHARURA ZA KUKABILI MAGONJWA AMBUKIZI YA MLIPUKO ZATAKIWA KUTUMIA DHANA YAAFYA MOJA
![](https://1.bp.blogspot.com/-cZkzFin8OAk/XnEb8b2V-gI/AAAAAAALkL0/_c9pVKegApgo1dBOSCmaWjKfzrLhH0sVgCLcBGAsYHQ/s72-c/P1.1.jpg)
Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Matamwe akisisitiza umuhimu wa kutumia Dhana ya Afya moja ambayo hujikita katika kujumuisha sekta zote za Afya katika kujiandaa, kufuatilia na kukabili magonjwa yanayomuathiri binadamu wakati wa mafunzo kwa timu za dharura za kukabili magonjwa ambukizi ya mlipuko leo, Jijini Dodoma, tarehe 17 Machi, 2020.Baadhi ya wataalamu wa sekta za Afya kutoka kwa timu za dharura za kukabili magonjwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Nchi zatakiwa kukabili mabadiliko tabianchi
NCHI zinazoendelea zimetakiwa kuongeza rasilimali fedha za hali ya hewa tofauti na fedha za Msaada wa Maendeleo rasmi ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Hayo yalisemwa na...
11 years ago
Habarileo02 Aug
TRA na ZRB zatakiwa kukabili wakwepa kodi
MAMLAKA ya Mapato (TRA) na Shirika la Mapato Zanzibar(ZRB) zimetakiwa kubuni njia mpya za kukabiliana na wajanja, wanaokwepa kodi na kulikosesha taifa fedha nyingi.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gnHcPihZkYM/Vkd1_GccXGI/AAAAAAAIF3A/zTb4QrgIpUs/s72-c/4e086296-3d91-4d36-9ad4-ea3fc5c1c355.jpg)
Idara ya Magonjwa ya Dharura Muhimbili Yafanya Mazoezi ya Kujiandaa na Majanga
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Buguruni wahofia magonjwa ya mlipuko
9 years ago
Habarileo07 Nov
Bahi wahadharishwa magonjwa ya mlipuko
MKUU wa Wilaya ya Bahi, Francis Mwonga, ametaka wananchi kuchukua tahadhari dhidi magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza katika kipindi hiki cha majanga yanayotokana na mvua.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Wakazi Tungi wahofia magonjwa ya mlipuko
WAKAZI wa Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, wamekumbwa na hofu ya kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Moruwasa) kutowapatia majisafi na salama...
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Simu kutumika taarifa za magonjwa ya mlipuko
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/IMG-20140107-WA0007.jpg?width=640)
MAGONJWA YA MLIPUKO YANUKIA DAR