Fastjet yasafirisha abiria wa milioni moja
Meneja Mkuu wa Fastjet wa kanda ya Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto), akiwa na Grace Makazi ambaye alipokea ofa ya tiketi mbili za bure kama abiria wa milioni moja wa shirika hilo la ndege mara baada ya kutua jijini Dar esSalaam juzi, Shirika la Fastjet limetoa tiketi mbili za bure kwenda na kurudi mahali popote ndani ya nchi kwa abiria wake wa millioni moja.
Fastjet shirika la ndege la gharama nafuu limesafirisha abiria wake wa milioni moja, ndani ya kipindi cha miaka miwili tangu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Fastjet yabeba abiria zaidi ya 30,000 kwa mwezi
KAMPUNI ya ndege ya Fastjet imesema Desemba mwaka jana ilibeba abiria 37,458, ikiwa ni idadi kubwa kwa mwezi mmoja, hivyo kwa mwaka huu imeazimia kuendelea kutoa huduma bora. Akizungumza na...
10 years ago
Habarileo14 Apr
Abiria ajali ya moto wazikwa kaburi moja
MAELFU ya wakazi wa Tarafa ya Kidatu wilaya ya Kilombero na Mikumi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, walijawa na simanzi kubwa zilizotawaliwa na vilio wakati wa maziko ya miili ya watu 15 waliozikwa jana kwenye kaburi moja, ikiwa ni siku moja baada ya kufa kwa kuteketea kwa moto baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Kampuni ya Nganga Express kulipuka lililopogongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso.
11 years ago
Habarileo29 Dec
Abiria Tazara anaswa na meno ya tembo ya milioni 26/-
JESHI la Polisi Kikosi cha Reli ya Tazara linamshikilia mtu mmoja aliyekamatwa akisafirisha vipande 14 vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 29 na jino moja la Kiboko lenye uzito wa gramu 900, vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni 27.9.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi kikosi cha Tazara, Innocent Mugaya alimtaja mtu huyo kuwa ni Ally Juma ambaye anatambulika pia kama Ngangari ambaye alikamatwa Desemba 26, 2013 kwenye treni hiyo eneo la Kisaki Wilaya ya...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Magonjwa ya kuhara yaua milioni moja
WATU milioni 1.8 wanakufa kila mwaka duniani kutokana na magonjwa ya kuhara yanayosababishwa na kutokunywa majisafi na salama. Mkurugenzi wa shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na uboreshaji wa afya (HAPA)...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Times FM wapigwa faini ya milioni moja
KITUO cha Redio Times FM,kimetakiwa kulipa faini ya shilingi milioni moja baada ya kukiuka sheria ya utangazaji kwa kurusha vipindi vya ngono muda ambao haurusiwi. Hukumu hiyo ilitolewa jana jijini...
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Efm kuwazawadia milioni moja wanawake
NA ASIFIWE GEORGE
REDIO ya Efm kupitia kipindi chake kipya cha Uhondo imeandaa shindano maalumu la kanga kwa ajili ya wanawake wanaosikiliza redio hiyo.
Shindano hilo litaanza Septemba 14 hadi Oktoba 5, mwaka huu, likiwa na lengo la kuwahamasisha wanawake wafuatilie kipindi hicho kwa kuwa kina faida nyingi kwao.
Msemaji wa redio hiyo, Dennis Sebbo, alisema washiriki wa shindano hilo watatakiwa kubuni maneno ya kanga kupitia kipindi cha Uhondo na maneno yanatakiwa yawe na neno Uhondo, mfano;...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Kaya milioni moja kunufaika na Tasaf
WASTANI wa kaya milioni moja ambazo zinaishi katika hali duni ya umasikini nchini, zimelengwa kuwezeshwa katika kujikimu kimaisha katika utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini unaotekelezwa na Mfuko wa...
10 years ago
Vijimambo30 Sep
MTANZANIA NI MOJA KATI YA ABIRIA WALIOKUWEMO KWENYE NDEGE YA AMERICAN ILIYOTUA KWA DHARURA BAADA YA GURUDUMU LA MBELE KUPATA PANCHA
Ndege ya shirika la ndege la American iliyokua ikisafiri kutoka Houston Texas kuelekea Baltimore siku ya Jumatatu Sept 29, 2014 mida ya jioni na iliyokua imebeba abiria 140 akiwemo Mtanzania Baraka Daudi ilibidi itue kwa dharura kwenye uwanja huo wa Houston baada ya rubani wa ndege hiyo kugundua gurudumu la mbele (norse gear) kutokua na upepo. Baada ya rubani kudua hitilafu hiyo aliwasiliana na mnara wa kuongozea ndege wa uwanja huo wa Houston wajaribu kuingalia ndege hiyo kwa ukaribu zaidi...
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Watoto milioni moja kupewa chanjo Mara
ZAIDI ya watoto milioni 1.8 wanatarajiwa kupatiwa chanjo, ikiwemo ya surua na rubella, matone ya vitamini A na dawa za minyoo katika Mkoa wa Mara katika kampeni iliyoanza Oktoba 18...