Abiria Tazara anaswa na meno ya tembo ya milioni 26/-
JESHI la Polisi Kikosi cha Reli ya Tazara linamshikilia mtu mmoja aliyekamatwa akisafirisha vipande 14 vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 29 na jino moja la Kiboko lenye uzito wa gramu 900, vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni 27.9.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi kikosi cha Tazara, Innocent Mugaya alimtaja mtu huyo kuwa ni Ally Juma ambaye anatambulika pia kama Ngangari ambaye alikamatwa Desemba 26, 2013 kwenye treni hiyo eneo la Kisaki Wilaya ya...
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Wakamatwa na meno ya tembo vipande 22 vyenye thamani ya Sh157 milioni
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-chaPuUbmfNw/U3RZ9DrmYEI/AAAAAAAFhxg/RMJ66Jk1TZg/s72-c/unnamed+(1).jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlv9Z3nXF3jwBvVRZTIeDXsbZR27HwEmr2VG64XQCtosSAHVNaI-mOkEM5ZxWRHLfrr4bzgmBRHqjwdeLHsx36o/unnamed1.jpg?width=650)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wanaswa na meno ya tembo 53
WATU sita wanaodhaniwa kuwa ni majangili wamekamatwa na meno ya tembo 53 yenye kilo 169.7, wakiwa na silaha aina ya SMG yenye magazine tatu kwenye Kijiji cha Kiomboi, wilayani Manyoni,...
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
Wanaswa na meno ya tembo
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
WATU watano wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na vipande vinane vya meno ya tembo, vikiwa vimevificha kwenye dumu la mafuta.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema tukio hilo lilitokea jana, saa 2:30 usiku katika eneo la Daraja Mbili, barabara ya kwenda Mikumi wilayani Kilosa.
Alisema watuhumiwa hao walikamatwa na polisi kwa kushirikiana na askari wa wanyamapori, waliokuwa kwenye doria.
Paul alisema watu hao walichukua...
11 years ago
Mwananchi14 May
Mgomo wakwamisha abiria Tazara
11 years ago
Habarileo12 Jan
Meno zaidi ya tembo yakamatwa
JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa, usiku wa kuamkia jana lilikamata meno matano ya tembo ambayo thamani yake haikuweza kujulikana mara moja kutoka kwa wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbezi, Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo15 Feb
Meno ya tembo yakamatwa Mtwara
JESHI la Polisi wilayani hapa, limekamata nyara za Serikali ikiwa ni meno ya tembo 58 yenye uzito wa kilo 130.6 na watuhumiwa watatu ambao walikuwa wanayasafirisha kutoka hapa kwenda Dar es Salaam.