Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tidal ya Jay Z yafikisha watumiaji milioni moja

Jay Z ana haki ya kusherehekea kwa mafanikio yaliyotokana na mtandao wake wa Tidal. Rapper huyo alitumia Twitter kutangaza kuwa mtandao huo wa kusikiliza nyimbo umefikisha watumiaji milioni moja. “Nothing real can be threatened, nothing unreal exists. TIDAL is platinum. 1,000,000 people and counting. Let’s celebrate 10/20 Brooklyn,” alitweet. Tangu ianzishwe, TIDAL imekuwa ikikumbana na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Tidal ya Jay Z kuja na series za vichekesho

Jay ZKampuni ya Tidal, inayomilikiwa na Jay Z inatarajia kuanzisha series za vichekezo. Kwa mujibu wa Variety, Tidal itaonesha series mbili mpya. Series hizo ni pamoja na kipindi cha No Small Talk kinachowapa fursa wachekeshaji wachanga na kuendeshwa Cipha Sounds ambacho kinaanza Jumanne hii, November 3. Mradi mwingine ni msimu wa pili wa Money & Violence […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Denis asifu mtandao wa Jay Z Tidal

Msanii wa nyimbo za injili Kenya Papa Denis amesifu huduma mpya ya mtandao wa muziki wa Tidal uliozinduliwa na Jay Z.

 

10 years ago

GPL

BEYONCE, JAY Z WAFUNIKA KATIKA TAMASHA LA TIDAL X 1020, MAREKANI

Madiva wawili Beyonce na Nick Minaj wakiwa katika pozi  kwenye Tamasha la Tidal X 1020 lilofanyika jana katika jiji la New York, Marekani .   Rapa…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Jay Z na Beyonce waoneshana mahaba kwa ku-kiss jukwaani kwenye tamasha la Tidal X: 1020

Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa mastaa walioshambulia jukwaa kwenye tamasha ya Tidal X: 1020 lililofanyika Jumanne Oct 20 jijini New York. Beyonce na mumewe Jay Z hawakusita kuudhihirishia ulimwengu kuwa mapenzi yao bado yana nguvu kwa kushare ‘kiss’ wakiwa jukwaani. Wengine waliotumbuiza kwenye tamasha hilo ni Nicki Minaj, Usher na Lil Wayne, Meek […]

 

10 years ago

Bongo5

Jay Z, Beyonce, Nicki Minaj, Usher na mastaa wengine kutumbuiza kwenye show ya charity ya Tidal

Baada ya mtandao wa Tidal kufikisha zaidi ya watumiaji milioni moja, Jay Z aliahidi kusheherekea na sasa ametangaza shangwe hizo zitakuwa lini na wapi. Jay ametangaza show za charity za TIDAL X: 1020 ambapo kwa mara ya kwanza itafanyika Oct. 20 kwenye uwanja/ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn. Pamoja na Jay Z mwenyewe, mastaa wengine watakaotumbuiza […]

 

9 years ago

Bongo5

‘Hello’ ya Adele yafikisha watazamaji zaidi ya Milioni 700 Youtube

adele-25-cover

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015, muimbaji kutoka Uingereza, Adele anaendelea kufanya vizuri kutokana na album yake mpya ‘25’.

adele-25-cover

Ikiwa zimebaki siku nne video ya hit single yake ‘Hello’ ifikishe mwezi mmoja toka ilipowekwa kwenye mtandao wa Youtube, tayari imetazamwa zaidi ya mara milioni 700.

Mpaka sasa video ya wimbo huo unaopatikana kwenye album yake mpya ‘25’ ina views 739,530,188.

2015 umekuwa ni mwaka mzuri kwa Adele ambaye alikaa kimya kwa miaka mitatu toka alpoachia album yake...

 

10 years ago

Vijimambo

SHULE YA MSINGI MISUFINI YAFIKISHA MIAKA 4O,YAKABILIWA NA CHANGAMOTO KUBWA,AICHANGIA MILIONI 4


   Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood  Akikagua Mazingira Mbalimbali ya Shule ya Msingi Misufini. kwenye Sherehe za Mazimisho ya Miaka 4o Tangu kuanzishwa Kwa Shule ya Msingi Misufini Iliyopo Manispaa ya Morogoro.Katika Maadhimisho Hayo Mbunge wa Jimbo Hilo alifanya Ukaguzi na Kuikuta Shule Hiyo Ikiwa Katika Hali Mbaya Vyumba vya Madarasa ni Chakavu,Havina Milango Wala Madirisha Licha Ya shulie Hiyo Kuafulisha wanafunzi kwa Kiwango Kikukbwa Ndani ya Wilaya ya Morogoro Mjini.


 

9 years ago

Bongo5

Album mpya ya Rihanna ‘ANTI’ itapatikana exclusive kwa wiki moja kwenye Tidal

rihanna-anti-mama-gallery-2015-billboard-650

Kuna tetesi kuwa album mpya na ya nane ya Rihanna, ANTI itatoka Ijumaa hii na kupatikana kwenye mtandao wa Tidal peke yake kwa kipindi cha wiki moja kabla ya kuwekwa kwingine.

rihanna-anti-mama-gallery-2015-billboard-650

Billboard wamedai kuwa hatua hiyo itaathiri mauzo ya wiki ya album hiyo. Rihanna ni miongoni mwa mastaa wenye hisa kwenye mtandao wa Tidal.

Hata hivyo kazi nyingi zilizowekwa kwenye mtandao huo zimeonesha kutokuwa na mapokezi makubwa kama zinazowekwa kwenye Spotify na YouTube.

Mfano mzuri ni wimbo wake ‘American...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI MISUFINI YAFIKISHA MIAKA 4O,YAKABILIWA NA CHANGAMOTO KUBWA,MBUNGE AZIZ ABOOD AICHANGIA MILIONI 4

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea kwenye Sherehe za Mazimisho ya Miaka 4o Tangu kuanzishwa Kwa Shule ya Msingi Misufini Iliyopo Manispaa ya Morogoro.Katika Maadhimisho Hayo Mbunge wa Jimbo Hilo alifanya Aliongoza Harambee Nas Jumla ya Shilingi Millioni 5.8 Zilichangwa Ambapo Yeye Alichangia Jumla ya Shilingi Milioni 4.5   Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood  Akikagua Mazingira Mbalimbali ya Shule ya Msingi Misufini. kwenye Sherehe za Mazimisho ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani