Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tidal ya Jay Z kuja na series za vichekesho

Jay ZKampuni ya Tidal, inayomilikiwa na Jay Z inatarajia kuanzisha series za vichekezo. Kwa mujibu wa Variety, Tidal itaonesha series mbili mpya. Series hizo ni pamoja na kipindi cha No Small Talk kinachowapa fursa wachekeshaji wachanga na kuendeshwa Cipha Sounds ambacho kinaanza Jumanne hii, November 3. Mradi mwingine ni msimu wa pili wa Money & Violence […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Papa Denis asifu mtandao wa Jay Z Tidal

Msanii wa nyimbo za injili Kenya Papa Denis amesifu huduma mpya ya mtandao wa muziki wa Tidal uliozinduliwa na Jay Z.

 

9 years ago

Bongo5

Tidal ya Jay Z yafikisha watumiaji milioni moja

Jay Z ana haki ya kusherehekea kwa mafanikio yaliyotokana na mtandao wake wa Tidal. Rapper huyo alitumia Twitter kutangaza kuwa mtandao huo wa kusikiliza nyimbo umefikisha watumiaji milioni moja. “Nothing real can be threatened, nothing unreal exists. TIDAL is platinum. 1,000,000 people and counting. Let’s celebrate 10/20 Brooklyn,” alitweet. Tangu ianzishwe, TIDAL imekuwa ikikumbana na […]

 

9 years ago

GPL

BEYONCE, JAY Z WAFUNIKA KATIKA TAMASHA LA TIDAL X 1020, MAREKANI

Madiva wawili Beyonce na Nick Minaj wakiwa katika pozi  kwenye Tamasha la Tidal X 1020 lilofanyika jana katika jiji la New York, Marekani .   Rapa…

 

9 years ago

Bongo5

Jay Z, Beyonce, Nicki Minaj, Usher na mastaa wengine kutumbuiza kwenye show ya charity ya Tidal

Baada ya mtandao wa Tidal kufikisha zaidi ya watumiaji milioni moja, Jay Z aliahidi kusheherekea na sasa ametangaza shangwe hizo zitakuwa lini na wapi. Jay ametangaza show za charity za TIDAL X: 1020 ambapo kwa mara ya kwanza itafanyika Oct. 20 kwenye uwanja/ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn. Pamoja na Jay Z mwenyewe, mastaa wengine watakaotumbuiza […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Jay Z na Beyonce waoneshana mahaba kwa ku-kiss jukwaani kwenye tamasha la Tidal X: 1020

Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa mastaa walioshambulia jukwaa kwenye tamasha ya Tidal X: 1020 lililofanyika Jumanne Oct 20 jijini New York. Beyonce na mumewe Jay Z hawakusita kuudhihirishia ulimwengu kuwa mapenzi yao bado yana nguvu kwa kushare ‘kiss’ wakiwa jukwaani. Wengine waliotumbuiza kwenye tamasha hilo ni Nicki Minaj, Usher na Lil Wayne, Meek […]

 

9 years ago

Bongo5

Fox kuja na series ya ‘Think Like A Man’

Filamu ya komedi ya ‘Think Like A Man’ inatarajiwa kutengenezwa kama series ya kwenye runinga ikiwa na watu wale wale kwenye upande wa ubunifu, mtandao wa deadline.com umeripoti. Kituo cha Fox kinaitengeneza Think Like A Man itakayotayarishwa na mchekeshaji, Steve Harvey, ambaye vitabu vyake vilitumika kutengeneza filamu hizo. Mtayarishaji wa filamu hizo Will Packer naye […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pro. Jay kuja na ‘Tatu Chafu’

BAADA ya kufanya vizuri na kibao chake cha ‘Kipi sijasikia’, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesar Jay’, anatarajiwa kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la...

 

10 years ago

Bongo5

Jay Z na Beyonce kuja na album ya pamoja

Jay Z na Beyonce wameanza kurekodi album ya pamoja, kwa mujibu DJ Skee. DJ huyo amedai kuthibitisha suala hilo kutoka kwa chanzo zaidi ya kimoja. “Couple kubwa kwenye muziki, pengine kwenye burudani, pengine duniani, wanatengeneza album ya pamoja,” alisema. “You know who I’m talking about, Jay Z and Beyonce . I have confirmed and talked […]

 

9 years ago

Bongo5

Nick wa Pili kuja kuja na wimbo ‘Baba Swalehe’

nikki wa piliRapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili anatarajia kuachia wimbo uitwao Baba Swahele. Amedai kuwa wimbo huo unazungumzia mwanaume bachelor ‘anayeishi ndani ya ndoa.’ “Baba Swalehe ni mtu ambaye anaishi kibachela ndani ya ndoa,” Nick amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM. “Wimbo ukitoka watajua unawezaje kuishi ndani ya ndoa lakini ukiwa unaishi kibachela? […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani