Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAADHIMISHA MIAKA 20 YA MAANDAMNO YA WANAUME MILIONI MOJA

Maelfu ya watu weusi, wake kwa waume, watoto na wazee, jana walikusanyika katika jiji la Washington kuadhimiasha miaka 20 ya Matembezi Ya Wanaume Milioni Moja (One Million Man March).Maelfu wa kimsikiliza Bwana Luis Farakhan Maadhimisho hayo yanakuja huku hasira na kauli za kutetea haki za kiraia zikiwa zinazidi kuongezeka miongoni mwa Wamarekani Wenye asili ya Kiafrika kufuatia matuko ya kuuwawa kwa vijana weusi katika mikono ya Polisi.
Makundi ya watu waliokuwa hawakupata nafasi ya kuona...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Watanzania waadhimisha miaka 53 ya uhuru

Tanzania bara leo inaadhimisha miaka 53 toka ilipojipatia uhuru toka kwa Muingereza Desemba 9, mwaka 1961.

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria waadhimisha miaka 50 ya Muungano

Na: Geofrey Tengeneza – Abuja Nigeria
Jumuiya ya wafanyabiashara, wawekezaji na wananchi wa Nigeria kwa ujumla, wameombwa kuja kuwekeza kwa ujumla na kutembelea vivutio vya utalii mbalimbali vinavyopatikana nchini Tanzania.
Hayo yamesemwa na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mheshimiwa Daniel Ole Njoolay katika maadhimisho ya miaka hamsini 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) yalioandaliwa na ofisi ya ubalozi  waTanzania nchini Nigeria na kufanyika katika Hoteli ya Sheraton...

 

5 years ago

Michuzi

RC Makonda kula sahani moja na wanaume wanaowaonea Wanawake

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Paul Makonda amesema ametangaza vita  kuwashughukikia kikamilifu wanaume wenye tabia ya kuwaonea Wanawake kwa kuwapiga hadi kuwaharibu mwonekano wa sura,macho,kuwavunja meno au taya na kusababisha baadhi yao kupata ulemavu wa kudumu jambo ambalo ni kinyume na Sheria.

Makonda ameyasema hayo wakati wa maadhinisho ya siku ya Wanawake Duniani kwa Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Leaders .

RC Makonda amesema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahitimu wa CBE nyanda za juu kusini waadhimisha miaka 50 ya chuo hicho jijini Mbeya

19

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo hicho kuanzia mwaka 1965-2014 na yeye akiwa ni mmoja wa wanafunzi ambaye alisoma katika chuo hicho mwaka 1967 na ambaye pia alikuwa ni Mkufunzi katika chuo hiki na Mlezi wa Umoja wa wana CBE waishio nyanda za juu kusini akitoa hotuba yake ambapo, alikishukuru chuo cha CBE kwa kufanya mkutano huu...

 

9 years ago

Vijimambo

WATUMISHI WANAWAKE WA KRISTO WA KANISA LA TAG NCHINI WAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU KUANZISHWA KWA CHAMA CHAO

 Makamu Mstaafu wa wanawake wa watumishi wa Kristo (WWK) Taifa  Bi. Eshimendi Roghat Swai akihubiri katika maadhimisho ya miaka 50 ya chama cha wanawake hao toka kuanzishwa ndani ya kanisa la Tanzania Assembless Of God (TAG) yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.Picha na John Banda. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafu Chiku Gallawa ( wa pili kutoka kushoto) akiwa pamoja na Baadhi ya viongozi wa Kanisa hilo katika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya...

 

9 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI

 Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John akizungumza juu ya Upungufu wa vitamini na Baadhi ya Madini muhimu kama Vitamini A, folate, Madini chuma Zinki na madini joto ni chazo cha vifo kwa Watoto chini ya miaka Mitano na chanzo kikubwa cha maradhi mbalimbali kote Duniani, kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Alliance for Iproved Nutrition (GAIN) ,Marc van Amerngen katika mkutano uliofanyika  leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Efm kuwazawadia milioni moja wanawake

sebbo 2NA ASIFIWE GEORGE

REDIO ya Efm kupitia kipindi chake kipya cha Uhondo imeandaa shindano maalumu la kanga kwa ajili ya wanawake wanaosikiliza redio hiyo.

Shindano hilo litaanza Septemba 14 hadi Oktoba 5, mwaka huu, likiwa na lengo la kuwahamasisha wanawake wafuatilie kipindi hicho kwa kuwa kina faida nyingi kwao.

Msemaji wa redio hiyo, Dennis Sebbo, alisema washiriki wa shindano hilo watatakiwa kubuni maneno ya kanga kupitia kipindi cha Uhondo na maneno yanatakiwa yawe na neno Uhondo, mfano;...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magonjwa ya kuhara yaua milioni moja

WATU milioni 1.8 wanakufa kila mwaka duniani kutokana na magonjwa ya kuhara yanayosababishwa na kutokunywa majisafi na salama. Mkurugenzi wa shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na uboreshaji wa afya (HAPA)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Times FM wapigwa faini ya milioni moja

KITUO cha Redio Times FM,kimetakiwa kulipa faini ya shilingi milioni moja baada ya kukiuka sheria ya utangazaji kwa kurusha vipindi vya ngono muda ambao haurusiwi. Hukumu hiyo ilitolewa jana jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani