Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania waadhimisha miaka 53 ya uhuru

Tanzania bara leo inaadhimisha miaka 53 toka ilipojipatia uhuru toka kwa Muingereza Desemba 9, mwaka 1961.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania waadhimisha sikukuu ya UHURU wakiwa na zana za usafi mikononi

Untitled 1

Leo ni siku muhimu ya 9, Desemba, Tanzania ikisheherekea mwaka wa 54 wa uhuru wa Tanganyika tangu upatikane kutoka kwa Muingereza mwaka 1961.

Kama ilivyo kawaida miaka 53 iliyopita tulikuwa tukisherekea siku kuu hii kwa maadhimisho ya namna tofauti , ikiwa ni pamoja na sherehe zinazoandaliwa na serikali ya muungano, lakini kwa mwaka huu ndani ya uongozi mpya wa awamu ya tano shughuli hii imekuwa ya tofauti na ya kipekee katika kutilia mkazo suala la usafi nchi nzima.

Watanzania wengi kutoka...

 

9 years ago

Mtanzania

Miaka 54 ya uhuru, Watanzania hawakuwa huru

NA ELIZABETH HOMBO
ELIZA2.indd

LEO Watanzania  wanasherehekea  miaka 54 baada ya Taifa hili kujinasua kutoka kwenye minyororo ya wakoloni wa Uingereza.

Historia inaonyesha kuwa baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Umoja wa Mataifa(UN) uliwapa dhamana Uingereza kuitawala Tanganyika mpaka hapo wananchi wake watakapopata ufahamu wa kudai uhuru wao.

Kabla ya Uingereza kupewa dhamana ya kuiongoza Tanganyika, nchi hii ilikuwa chini ya himaya ya koloni la Ujerumani.
Uhuru wa Taifa hili umepita katika mapito...

 

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania washerehekea miaka 53 ya Uhuru Oakland California

Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa (watatu toka kushoto) akibadilishana mawili matatu na mgeni rasmi wa sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara Mhe. Dr. Saidi Mohamed Mtanda (wapili toka kushoto), mbunge wa Afrika Mashariki na mwenyekiti kamati ya kudumu ya huduma za jamii katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Mtanda pia ni Mbunge wa jimbo la Mchinga Mkoani Lindi. Kulia ni Cherry Mke wa Mhe. Ahmed Issa.

Balozi wa Heshima Mhe. Ahmed Issa akitoa salamu za miaka 53 ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE.MTANDA AKONGA NYOYO ZA WATANZANIA SHEREHE YA UHURU MIAKA 53 CALIFORNIA

Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa (watatu toka kushoto) akibadilishana mawili matatu na mgeni rasmi wa sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara Mhe. Dr. Saidi Mohamed Mtanda (wapili toka kushoto), mbunge wa Afrika Mashariki na mwenyekiti kamati ya kudumu ya huduma za jamii katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Mtanda pia ni Mbunge wa jimbo la Mchinga Mkoani Lindi. Kulia ni Cherry Mke wa Mhe. Ahmed Issa.Balozi wa Heshima Mhe. Ahmed Issa akitoa salamu za miaka 53 ya Uhuru...

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

Katibu  wa chama  cha waandishi wa habari  mkoa wa Iringa (IPC) Francis Godwin wa pili  kulia  akiongoza  wanahabari na wananchi wa kata ya Ilala kwenda kufanya usafi wa mazingira   leo  wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Wanahabari  mkoa wa Iringa  wakiadhimisha siku ya uhuru wa  vyombo vya habari kwa kufanya usafi.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Vijimambo

WAADHIMISHA MIAKA 20 YA MAANDAMNO YA WANAUME MILIONI MOJA

Maelfu ya watu weusi, wake kwa waume, watoto na wazee, jana walikusanyika katika jiji la Washington kuadhimiasha miaka 20 ya Matembezi Ya Wanaume Milioni Moja (One Million Man March).Maelfu wa kimsikiliza Bwana Luis Farakhan Maadhimisho hayo yanakuja huku hasira na kauli za kutetea haki za kiraia zikiwa zinazidi kuongezeka miongoni mwa Wamarekani Wenye asili ya Kiafrika kufuatia matuko ya kuuwawa kwa vijana weusi katika mikono ya Polisi.
Makundi ya watu waliokuwa hawakupata nafasi ya kuona...

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria waadhimisha miaka 50 ya Muungano

Na: Geofrey Tengeneza – Abuja Nigeria
Jumuiya ya wafanyabiashara, wawekezaji na wananchi wa Nigeria kwa ujumla, wameombwa kuja kuwekeza kwa ujumla na kutembelea vivutio vya utalii mbalimbali vinavyopatikana nchini Tanzania.
Hayo yamesemwa na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mheshimiwa Daniel Ole Njoolay katika maadhimisho ya miaka hamsini 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) yalioandaliwa na ofisi ya ubalozi  waTanzania nchini Nigeria na kufanyika katika Hoteli ya Sheraton...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA

Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akiongoza timu ya wafanyakazi wa Mfuko pamoja na wafanyakazi wa Dangote kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania na kutekeleza agizo la Mh Rais John Pombe Magufuli la kuhakikisha watanzania wanafanya usafi katika maeneo yao.Zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara likiendelea ikiwa ni katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani