Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EFM YAANZISHA SHINDANO LA KANGA KWA WANAWAKE KUPITIA KIPINDI CHA UHONDO

 Ofisa Habari, Lydia Moyo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati akimkaribisha Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo  kuzungumza na wanahabari. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu shindano lililoanzishwa na redio hiyo la Kanga kupitia kipindi cha Uhondo kwa ajili ya wanawake wote wasikilizaji wa redio hiyo ambalo limeanza rasmi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

EFM 93.7 yaja na shindano la kubuni maneno ya Khanga kupitia kipindi cha UHONDO

 KATIKA kuhakikisha kuwa inamshirikisha msikilizaji wake kwenye kila jambo na hatua inayopiga 93.7 efm, kupitia kipindi chake kipya cha Uhondo ambacho huruka hewani kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa sita mchana hadi saa tisa Alasiri, Kikiwa na watangazaji mahiri Dina Marios na Swebe Santana (Rais wa Wanaume) kimeandaa shindano la Kanga kwa ajili ya wanawake wote wasikilizaji wa Efm 93.7Lengo la shindano hilo, linaloanza leo Septemba 14 na kuishia Oktoba 5 mwaka huu, kwanza ni...

 

9 years ago

Michuzi

EFM YAKABIDHI KITITA CHA SH. MILIONI MOJA KWA SHINDI WA SHINDANO LA KUBUNI MANENO YA KANGA

 Meneja  wa Mawasiliano  Efm, Denis Ssebo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kumpata mshindi wa  shindano la kubuni maneno ya Kanga kupitia kipindi cha UHONDO ambacho huruka hewani kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa sita mchana hadi saa tisa alasiri, kikiwa na Matangazaji mahiri Dina Marios, kikao hicho kimefanika leo jijini Dar es Salaam, katikati ni mshindi wa shindano hilo Sekela Richard na wakulia ni Matangazaji wa Efm  Radio Dina Marios. Matangazaji...

 

10 years ago

Bongo5

EFM yavunja ngome ya kipindi cha michezo cha Radio One, yawachukua Maulid Kitenge na Omary Katanga

Kipindi cha michezo cha Radio One ‘Spoti Leo’ kimepata pigo kali baada ya watangazaji wake mahiri, Maulid Kitenge na Omary Katanga kuhamia EFM 93.7 ya Dar es Salaam. Maulid Kitenge na Omary Katanga enzi wakiwa Radio One Kuondoka ghafla kwa watangazaji hao waliokifanya kipindi cha ‘Spoti Leo’ kuwa kipindi bora zaidi cha michezo nchini kutokana […]

 

10 years ago

Michuzi

KIPINDI CHA MASKANI YA TIMES FM WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MSAADA KATIKA HOSPITALI YA MWANAYAMALA, DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Times Radio Fm, Mr. Rehure Nyaulawa (kushoto) akimkabidhi msaada wa mashuka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk, Sophinias Ngonyani (kulia) mara baada ya Timu nzima ya Kipindi cha Maskani kilipopiga hodi hospitalini hapo kutoa misaada ya mashuka yapatayo 200 kwa ajili wodi ya akina mama na watoto. Msaada huo ilikuwa ni kuunga mkono maadhimisho ya wanawake duniani inayoadhimishwa leo Machi 8, duniani kote. Wanaoshuhudia ni Mbunge wa Kinondoni Mhe. Idd...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Dkt. Magufuli azindua Kipindi cha Pili cha Awamu ya tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa TASAF III



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akikata utepe kuzindua Kipindi cha awamu...

 

9 years ago

Michuzi

Shirika La Bima La Taifa (NIC) ladhamini kipindi cha “Stars Kwanza Tusonge Mbele” kilichobuniwa na 93.7 EFM radio na TFF

Mkurugenzi wa Masoko  wa Shirika La Bima La Taifa (NIC) Bwana Elisante Maleko ametebelea studio za Efm.NIC ni wadhamini wa kipindi cha  “Stars Kwanza Tusonge Mbele” kilichobuniwa na  93.7 EFM radio na TFF kuhamasisha wananchi kurejesha upya mapenzi yao kwa timu ya Taifa Stars. Pichani kutoka kushoto ni Masoud Maestro, Elisante Maleko wa NIC , Maulid Kitenge, Musa Kawambwa, Dennis ssebo na  Oscar Oscar wa Team Michezo ya EFM 93.7 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani