Juhudi binafsi zinatakiwa kumaliza ukeketaji, unyanyasaji kijinsia – Rose Haji Mwalimu
Afisa Maendeleo ya Jamii (W) Ngorongoro, Teresia Irafay (wa pili kushoto) akiitambulisha meza kuu kabla ya kumkaribisha Katibu Tawala wa Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kileo, (wa tatu kulia) kufungua kongamano la viongozi wa mila wa kabila la wamasai (Laigwanan/Ngaigwanani) na wanawake Mashuhuri yenye lengo la kushawishi uondoaji wa mila potofu zinazorudisha nyuma maendeleo katika jamii za wafugaji. Kushoto ni Mtaalamu wa masuala ya vyombo vya habari vya kijamii na Mkufunzi kutoka (UNESCO),...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo15 Nov
Juhudi binafsi kuondoa ukeketaji
JAMII ya wafugaji imetakiwa kutumia juhudi zao binafsi kubadilisha mawazo na imani ya jamii, kwamba mila na desturi hazibadiliki ili kutengeneza mfumo bora mpya unaothamini maisha ya wanawake.
10 years ago
BBCSwahili19 May
Misri mashakani kwa unyanyasaji wa kijinsia
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
‘Pombe chanzo cha unyanyasaji wa kijinsia’
MRATIBU wa Kituo cha Usuluhishi (CRC) kinachoratibiwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa), Elizabeth Muhangwa, amesema unywaji wa pombe unasababisha unyanyasaji wa kijinsia katika familia. Muhangwa alitoa...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Jinsi ya kumwepusha mtoto na unyanyasaji kijinsia
10 years ago
Habarileo11 Dec
Tapsea: Toeni taarifa za unyanyasaji kijinsia
CHAMA cha Makatibu Mahsusi Tanzania (Tapsea), kimetaka wanachama wake kutoa taarifa sehemu husika pale wanaponyanyaswa kijinsia katika ofisi zao bila kuhofia kupoteza ajira zao.
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Imani za kishirikina zinavyochangia unyanyasaji wa kijinsia
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Watumishi Sheria waaswa kupinga unyanyasaji wa kijinsia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Fanuel Mbonde akifungua mafunzo kuhusu uzingatiwaji na uelewa wa masuala ya jinsia kwa watumishi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkufunzi wa Masuala ya Jinsia na Rais wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani (TAWJA) Jaji Mstaafu Eusebia Munuo akiongea wakati wa mafunzo kuhusu uzingatiwaji na uelewa wa masuala ya jinsia kwa watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria jijini Dar es Salaam mwishoni mwaka wiki.
Mkufunzi wa...
11 years ago
MichuziWatumishi Sheria waaswa kupinga unyanyasaji kijinsia
11 years ago
Michuzi
POLISI WAJIPANGA KUKOMESHA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Mkuu wa Dawati la Jinsia Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, amewataka askari wote nchini hususan wale waliopo katika dawati la jinsia kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kukomesha vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.
Hayo aliyasema jana wakati akifunga semina ya mafunzo ya siku tano yaliyotolewa kwa Maafisa na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wadau wa Jeshi hilo katika mkoa wa...