Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapambano dhidi ya ukeketaji Tanzania , safari ni ndefu lakini kuna matumaini

Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kupinga ukeketaji kwa wanawake na wasichana inaelezwa kuwa mila na desturi ni kikwazo kikubwa katika harakati za kutokomeza vitendo hivyo.  Katika mahojiano na Joseph Msami wa  idhaa hii Mtaalamu wa masuala ya jinsia kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu, UNFPA nchini Tanzania, Christine Kwayu amesema licha ya mila hizo UNFPA kwa kushirikiana na wadau wanajitahidi kuelimisha jamii ili kuondokana na ukeketaji. Bi Kwayu kwanza anaanza kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Bado kuna safari ndefu kuimaliza corona - WHO

Watu 106,000 wathibitishwa kuwa na maambukizo ndani ya saa 24.

 

5 years ago

CCM Blog

MATUMAINI YAANZA KUONEKANA ULAYA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

   Mataifa ya Ulaya yaliyoathirika zaidi na virusi vya corona yameanza kuona dalili ndogo za matumaini katika mapambano dhidi ya virusi hivyo leo ila Marekani inajiandaa kwa hali mbaya zaidi.

Haya yanakuja wakati ambapo idadi ya vifo Marekani inaelekea kufikia watu elfu kumi.

Virusi vya corona vimeuathiri karibu ulimwengu mzima na kuwapelekea karibu nusu ya watu duniani kusalia majumbani na kupelekea vifo vya karibu watu sabini elfu.

Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza, hapo jana alitoa...

 

11 years ago

Mwananchi

KILIMO: Safari ya mafanikio bado ni ndefu Tanzania

Kilimo ni sekta inayoajiri zaidi ya asilimia 75 ya Watanzania. Hata hivyo bado ukuaji wake ni wa chini ukilinganisha na sekta nyingine kama vile madini, mawasiliano na uchukuzi.

 

9 years ago

Mwananchi

2016 mwanzo wa safari ndefu ya kiuchumi kwa Tanzania

Mwaka 2016 ni mwaka wa matumaini mapya kwa Watanzania wote walioanza kukata tamaa ya maisha bora. Biashara nyingi zimefilisika kutokana na vikwazo mbalimbali.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Uingereza kuisaidia Tanzania mapambano dhidi ya ujangili


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI ya Uingereza imeahidi kushirikiana na Tanzania kuhifadhi tani 120 za pembe za ndovu zinazotunzwa nchini.
Aidha, imeahidi kusaidia harakati za Tanzania katika mapambano dhidi ya uwindaji na mapambano dhidi ya majangili.
Waziri wa Uingereza anayehusika na bara la Afrika, Mark Simmonds, alisema hatua hiyo inatokana na juhudi za nchi kukomesha uwindaji haramu.
Simmonds aliyekuwa akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliohudhuriwa pia na Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

MABOSS WA AIRTEL TANZANIA WAENDELEZA MAPAMBANO DHIDI YA FISTULA

Wakuu wa makampuni tofauti pamoja na wakurugenzi wa vitengo mbali mbali vya kampuni ya Airtel Tanzania wameendelea kuonyesha kuguswa kwa kushiriki kutimiza shinikizo toka kwa Mkurugenzi mkuu wa Artel Tanzania alilolitoa wiki moja iliyopita kuhamasisha mapambano dhidi ya Fistula kwa akina mama kwa kuchangisha pesa zitakazotumika kusaidia shughuli mbalimbali wakati wa matibabu kwa wale waliopatwa na tatizo hilo Angalia video hizi kuona kila mmoja alivyofanya mara baada ya kuguswa na kujitoa...

 

5 years ago

Michuzi

Absa Tanzania yaunga mkono juhudi za serikali mapambano dhidi ya Covid-19

Waziri wa Afya, Maendeleo ya. Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, (katikati), akimshukuru Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utumishi wa Benki ya AbsaTanzania, Patrick Foya (kushoto), baada yakupokea msaada wa vifaa tiba kwa ajili ya kuisaidia serikali katika kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayotokana na virusi vya Corona (Covid-19). kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Daudi Mchembe. Vifaa hivyo vikiwemo barakoa,...

 

9 years ago

Mwananchi

Maisha safari ndefu

Maisha kuwa makini, pale panapo kuweza, Maisha sawa vitani, Nyau Titu nakujuza, Kuwa kwako sumbukoni, kasome na kujifunza, Maisha safari ndefu, furaha chuki huzuni.

 

5 years ago

Michuzi

Fashion Association of Tanzania(FAT) waungana na serikali mapambano dhidi ya maambukizi Covid-19


•    Wabunifu waonyesha kwa vitendo mapigano dhidi ya maambukizi ya Covid-19

Fashion Association of Tanzania (FAT) chaendesha mchakato wa uchangiaji wa vitakasa ikiwa sehemu ya mchango wao dhidi ya maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na kirusi cha Corona (Covid-19).

Jumla ya wabunifu, wanamitindo na wadau wa sekta hiyo 66, wameweza kuchangia katoni 80 (sawa na lita 1,600) za vitakasa, katoni 60 kati ya hizo zikiwa ni “lit lavender disinfectant” na 20 zikiwa ni “zap bleach regular”...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani