Maisha safari ndefu
Maisha kuwa makini, pale panapo kuweza, Maisha sawa vitani, Nyau Titu nakujuza, Kuwa kwako sumbukoni, kasome na kujifunza, Maisha safari ndefu, furaha chuki huzuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Safari bado ni ndefu - Msama
Mtu yeyote anapoanzisha jambo fulani huwa na msukumo uliosababisha kulianzisha. Lakini linaweza kukua na kuwa kitu kikubwa ikiwa ataweka nguvu bila kukata tamaa pindi anapokutana na changamoto wakati wa utekelezaji wa wazo lake.
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Safari ya mafanikio ya soka bado ndefu
Kwa muda mrefu sasa Tanzania imekuwa haifanyi vizuri katika mashindano ya kimataifa iwe timu ya Taifa au klabu zinazotuwakilisha katika mashindano ya Afrika.
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Safari bado ndefu kuelekea Ikulu
KWANZA ninaomba radhi kwa safu hii kuadimika kwa takriban wiki mbili mfululizo.
Evarist Chahali
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Lowassa ameanza safari, ni ndefu kiasi gani?
>“Nimefarijika sana leo kuwaona hapa marafiki zangu wengi. Ninapowatazama hadi machozi yananitoka na kwa uwezo wa Mungu tutashinda kwani nyote mnajua nia na ndoto yangu…WanaCCM msiwe na shaka, tutavuka kwa nguvu zetu... Wingi wenu huu unanipa faraja katika safari yetu na kwa kumtegemea Mungu tutashinda.â€Â ni kauli ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.
11 years ago
Mwananchi27 Feb
KILIMO: Safari ya mafanikio bado ni ndefu Tanzania
Kilimo ni sekta inayoajiri zaidi ya asilimia 75 ya Watanzania. Hata hivyo bado ukuaji wake ni wa chini ukilinganisha na sekta nyingine kama vile madini, mawasiliano na uchukuzi.
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Safari ndefu kwa watoto wenye mahitaji maalumu
>Wengi hujikuta wakipigwa, wakitukanwa, wakinyanyaswa au wakipewa adhabu kali na walimu wao kutokana na hali zao wakiwa darasani.
10 years ago
Bongo Movies12 May
Vihoja Kutoka Bongo Movies: Safari Bado ni Ndefu!
Ukisikia kuigiza watu wanaigiza mpaka mavazi.ukimwona kwa mbele kwenye camera Yuko smart! Hii ilikuwa katika shooting . scene mojawapo ya bongo Movies.
By Natasha Mamvi
9 years ago
Mwananchi31 Dec
2016 mwanzo wa safari ndefu ya kiuchumi kwa Tanzania
Mwaka 2016 ni mwaka wa matumaini mapya kwa Watanzania wote walioanza kukata tamaa ya maisha bora. Biashara nyingi zimefilisika kutokana na vikwazo mbalimbali.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania