Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


2016 mwanzo wa safari ndefu ya kiuchumi kwa Tanzania

Mwaka 2016 ni mwaka wa matumaini mapya kwa Watanzania wote walioanza kukata tamaa ya maisha bora. Biashara nyingi zimefilisika kutokana na vikwazo mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

KILIMO: Safari ya mafanikio bado ni ndefu Tanzania

Kilimo ni sekta inayoajiri zaidi ya asilimia 75 ya Watanzania. Hata hivyo bado ukuaji wake ni wa chini ukilinganisha na sekta nyingine kama vile madini, mawasiliano na uchukuzi.

 

11 years ago

Michuzi

Mapambano dhidi ya ukeketaji Tanzania , safari ni ndefu lakini kuna matumaini

Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kupinga ukeketaji kwa wanawake na wasichana inaelezwa kuwa mila na desturi ni kikwazo kikubwa katika harakati za kutokomeza vitendo hivyo.  Katika mahojiano na Joseph Msami wa  idhaa hii Mtaalamu wa masuala ya jinsia kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu, UNFPA nchini Tanzania, Christine Kwayu amesema licha ya mila hizo UNFPA kwa kushirikiana na wadau wanajitahidi kuelimisha jamii ili kuondokana na ukeketaji. Bi Kwayu kwanza anaanza kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Safari bado ndefu kwa KKK na mpango wa BRN

Hivi karibuni mpango wa Uwezo uliopo chini ya asasi ya kiraia ya Twaweza, umetoa ripoti yake ya nne ikiwa ni mfululizo wa ripoti zake zenye kichwa kinachouliza je, watoto wetu wanajifunza?

 

11 years ago

Mwananchi

Safari ndefu kwa watoto wenye mahitaji maalumu

>Wengi hujikuta wakipigwa, wakitukanwa, wakinyanyaswa au wakipewa adhabu kali na walimu wao kutokana na hali zao wakiwa darasani.

 

9 years ago

MillardAyo

Magazeti ya Tanzania January 2, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho

Leo January 2, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia. AyoTV:Harmonize akaenda na Dodoma… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO […]

The post Magazeti ya Tanzania January 2, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho...

 

9 years ago

MillardAyo

Magazeti ya Tanzania January 4, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho

Leo January 4, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.   Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ […]

The post Magazeti ya Tanzania January 4, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Magazeti ya Tanzania January 1, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho

Leo January 1, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia ® AyoTV:Dakika 10 za Prof. Lipumba kuhusu Znz na mengine ya nchi Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]

The post Magazeti ya Tanzania January 1, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Magazeti ya Tanzania January 3, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho

Leo January 3, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia. AyoTV:Harmonize na mashabiki wake kwenye stage Dodoma Jan 1 2016 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard […]

The post Magazeti ya Tanzania January 3, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho appeared...

 

9 years ago

Mwananchi

Maisha safari ndefu

Maisha kuwa makini, pale panapo kuweza, Maisha sawa vitani, Nyau Titu nakujuza, Kuwa kwako sumbukoni, kasome na kujifunza, Maisha safari ndefu, furaha chuki huzuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani