Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ADHA YA UKEKETAJI TANZANIA KUJADILIWA NA WABUNGE UINGEREZA

Na Freddy Macha
Jumatano ijayo tarehe 15 Oktoba, 2014...kundi la kina mama watatu akiwemo Mtanzania litashiriki jopo la ukeketaji na Wabunge, London, Uingereza.
Mtanzania, Rhobi Samwelly, mama wa watoto wanne, ni mzawa wa Butiama, Mara. Wenzake ni Comfort Momoh, toka Nigeria, anayetibu wanawake waliokeketwa hospitali mbili za Guy’s na St Thomas, London na Ann-Marie Wilson mkurugenzi wa “28 Too Many.” Shirika hili lenye tovuti yenye http://28toomany.org/ ni maktaba kubwa yenye habari, picha,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ADHA YA UKEKETAJI TANZANIA KUJADILIWA NA WABUNGE UINGEREZA

Anna Marcus, wa Jumuiya ya Uingereza na Tanzania (BTs) akishangilia bendera za Tanzania.Mwanasaikolojia, mtafiti na mtetezi wa haki za waliokeketwa, Anne-Marie Wilson(kulia kabisa) akijadiliana na wanachama wengine wa Jumuiya ya Uingereza na Tanzania (BTs), ukumbi wa Central Hall, Westminster baada ya hotuba yake. Alisisitiza kila sekunde kumi , msichana fulani hukeketwa ulimwenguni. Kati kati ni mweka hazina wa BTs, Bw. Robert Gibson na Jonathan Cape, mwendeshaji wa hafla.Janet Chapman &...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASAINI MAKUBALIANO NA UINGEREZA YA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI NA UKEKETAJI KWA WATOTO KIKE

 Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Bi Sophia Simba (katikati) akisaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza ya kukomesha ndoa za utotoni na ukeketaji wa watoto wa kike. kutoka kushoto ni Kamishna Mkuu wa Uingereza nchini,Bi.Dianna Melrose kulia ni Mwakilishi wa UNFPA,Dr.Natalia Kanem, leo katika ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto.

Picha ya pamoja baada ya kusaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza  kukomesha ndoa za utotoni na...

 

10 years ago

Habarileo

Kiinua mgongo cha wabunge kujadiliwa leo

Spika wa Bunge, Anna Makinda.KATIKA jitihada za kuhakikisha wabunge wa CCM na wachache wa upinzani walioko bungeni wanamsikiliza Rais Jakaya Kikwete akihutubia Bunge leo, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amelazimika kuliahirisha hadi leo asubuhi kujadili suala la kiinua mgongo chao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukeketaji wahamishiwa Uingereza

Utamaduni huo unafanywa na jamii za watu katika Mashariki ya kati,Afrika na Asia na ni tatizo linalokithiri katika mataifa mengi ambako wanahamia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukeketaji Uingereza:Polisi walaumiwa

Wabunge wa Uingereza wamewalaumu wakuu wa polisi na afya, kwa kushindwa kuwashtaki watu wanaohusika na kukeketa wasichana.

 

10 years ago

Mwananchi

Jopo la wabunge na wataalamu london laonyesha matumaini kutokomeza ukeketaji duniani

Kabla ya kuzungumzia jopo la London juma moja na nusu lililopita, hebu turudi nyuma. Kama walivyo wazee na vizazi vilivyopita vyenye busara, historia ni mwalimu mkubwa. Twende China.

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AONGOZA UZINDUZI WA FILAMU YA KUPINGA UKEKETAJI YA SIMULIZI HALISI YA GHATI NA RHOBI

 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna Melrose (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF), Koshuma Mtengeti (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Wanawake wa Afya, Utafiti na Maendeleo (Forward), Naana Otoo-Oyortey MBE, wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Filamu ya Simulizi halisi ya Ghati na Rhobi ulifanyika nyumbani kwa balozi huyo, Oysterbay Dar es Salaam jana. Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna Melrose (kulia), akizungumza kabla ya uzinduzi wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania: 12 mahakamani kwa ukeketaji

Wanawake 12 wanaotuhumiwa kuwafanyia ukeketaji wasichana 21, wamefikishwa mahakamani wilayani Same, Kilimanjaro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani