Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMKO LA PAMOJA KWA SIKU YA KIMATAIFA YA KUKOMESHA UKEKETAJI DHIDI YA WA WATOTO WA KIKE‏

UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi.Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji Kwa mwaka 2015, ujumbe wa kimataifa wa siku ya kupinga ukeketaji umewalenga wahudumu wa afya; “Uhamasishaji na ushirikishwaji wa wafanyakazi wa Afya ili kuharakisha kutokomeza ukeketaji”. Na hii ni kwa sababu asilimia 34 ya ukeketaji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tamko la pamoja kwa siku ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji dhidi ya wa watoto wa kike

10945033_856755441041229_6165141623154796543_o

UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi.

Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji

Kwa mwaka 2015, ujumbe wa kimataifa wa siku ya kupinga ukeketaji umewalenga wahudumu wa afya; “Uhamasishaji na ushirikishwaji wa wafanyakazi wa Afya ili kuharakisha kutokomeza ukeketaji”. Na hii ni kwa sababu asilimia 34 ya ukeketaji duniani hufanywa na wahudumu wa afya.

Pamoja na ujumbe huu mahsusi kwa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASAINI MAKUBALIANO NA UINGEREZA YA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI NA UKEKETAJI KWA WATOTO KIKE

 Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Bi Sophia Simba (katikati) akisaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza ya kukomesha ndoa za utotoni na ukeketaji wa watoto wa kike. kutoka kushoto ni Kamishna Mkuu wa Uingereza nchini,Bi.Dianna Melrose kulia ni Mwakilishi wa UNFPA,Dr.Natalia Kanem, leo katika ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto.

Picha ya pamoja baada ya kusaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza  kukomesha ndoa za utotoni na...

 

11 years ago

GPL

MAKAHABA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA KUKOMESHA UNYANYASAJI DHIDI YA WAFANYABIASHARA YA NGONO KENYA

LEO ni Siku ya Kimataifa Kukomesha Unyanyasaji Dhidi ya Wafanyabiashara ya Ngono Duniani. Nchini Kenya wafanyabiashara ya ngono walijumuika kwa pamoja na kufanya maandamano ya amani jijini Nairobi na Kisumu na kuitaka serikali ishughulikie matatizo yanayowakabili na kutaka kazi yao itambulike rasmi kama kazi nyenginezo. (VIDEO: KTN)

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la WOWAP lawafunda vijana Singida kukabiliana na ukeketaji kwa watoto wa kike

DSC04309

Mratibu wa mradi wa kutokomeza ukeketaji kwa njia ya majadiliano mkoa wa Singida, Zuhura Karya, akihamasisha wanavikundi wa vijana na wanawake kata ya Sepuka jimbo la Singida magharibi kuongeza juhudi katika kupambana na vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike. Kwa mujibu wa mratibu Karya, kwa sasa hali ni mbaya zaidi kwa vile vitoto vichanga vinakeketwa kwa kucha.

DSC04310

Baadhi ya wanavikundi wa wanawake wa kata ya Sepuka jimbo la Singida magharibi,wakifuatilia elimu juu ya madhara yatokanayo...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATAKIWA KUKOMESHA UBABE KWENYE UKEKETAJI‏

Mgeni rasmi Waziri wa Kazi na Ajira Mh. Gaudentia Kabaka akisalimiana na Mhashamu Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma Mkoani Mara, Michael Msongazila mara baada ya kuwasili kwenye mahafali hayo. Mratibu wa kituo cha TFGM na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mtakatifu Catherine Laboure ya Kijiji cha Masanga kilichopo wilayani Tarime mkoani Mara, Thomas Maruga akiwatembeza maeneo mbalimbali ya shule hiyo na Mratibu Mkazi wa...

 

10 years ago

GPL

HAKUNA WASICHOWEZA NI MRADI UNAOLETA MATUMAINI MAPYA KWA WATOTO WA KIKE-MASHULENI‏

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Mwenge iliyopo mkoani Lindi  wakifurahia baada ya kugawia pedi za kujikinga wanapokuwa kwenye hedhi .Mpango kwa kuwagawia wasichana pedi na kuwapatia elimu ya Afya na uzazi uko chini ya mradi wa Hakuna Wasichoweza unaoendeshwa na taasisi ya T-Marc na kudhaminiwa na USAID na Vodacom Foundation na unawalenga wanafunzi waliopo mashuleni na wasio mashuleni zoezi hili limeanza kufanyika...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR‏

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha  Mwandaliwa Islamic kilichopo  Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari   watoto hao wa kituo hicho jana.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani