KUNDI LA SIMBA JAMII TANZANIA LAZIDI KUTOA MISAADA KWA JAMII
![](https://1.bp.blogspot.com/-_4DTGij9Ck0/XooCfRmUHDI/AAAAAAALmG8/UK7OxAHMxt0xYivashlRnlGoi11BshjUgCLcBGAsYHQ/s72-c/29ecbe31-0488-484c-80bb-ff5a6789c20e.jpg)
Leo tarehe 05 April,2020 kundi maarufu la Simba Jamii Tanzania limekabidhi sehemu ya misaada ya viti vya walemavu (wheelchairs) kwa mwanafunzi mlemavu Lucy Furaha Kajuni wa shule ya Msingi Nzovwe iliyopo mkoani Mbeya.
Msaada huo ulitolewa mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo Ndg Happy Bakamba pamoja na maafisa kadhaa wa Kata.
Simba Jamii iliwakilishwa na wanachama wake Ndg Jacob Madege,Ndg Mwakalilila,Ndg Anangisye na Ndg Maureen.
Mkuu wa msafara wa Simba Jamii Ndg Maureen amedai kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM24 Feb
Nay Wa Mitego awataka wasanii kutoa misaada kwa jamii
“Unajua sisi ni binadamu na kama umefanikiwa kwa kiasi fulani basi na wewe unatakiwa kutoa msaada kidogo ulichokua nacho, hivyo nawaasa wasanii wenzangu kujitolea,” alisema.
Msanii huyo amefanikiwa kufanya vizuri nchini kupitia nyimbo zake kama Akadumba, Nakula ujana na nyinginezo.
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Makundi ya jamii asilia ya Wahadzabe, Wabarabaig, Wamasai waiomba Serikali ya Tanzania kuwatambua kama jamii nyingine!
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye kuishi maisha asilia Tanzania. kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay na (kulia) ni mmoja wa wajumbe walioshiriki kuandaa ripoti hiyo, kutoka nchini Kenya katika taasisi ya ACHPR, Dk. Naomi Kipuri.(Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na...
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Makundi ya jamii Asilia ya Wahadzabe, Wabarabaig,Wamasai waiomba Serikali ya Tanzania kuwatambua kama jamii nyingine!
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye kuishi maisha asilia Tanzania. kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay na (kulia) ni mmoja wa wajumbe walioshiriki kuandaa ripoti hiyo, kutoka nchini Kenya katika taasisi ya ACHPR, Dk. Naomi Kipuri. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na...
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Redio za kijamii zatakiwa kutoa elimu kwa jamii
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akifafanua jambo kwa Diwani wa kata ya Ololosokwani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika lisiolo la kiserikali la RAMAT inayomiliki Redio Loliondo FM, Bw. Yannick Ndoinyo (kushoto) wakati wa ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na UNESCO. Bw. Al Amin aliambatana na wadau wa maendeleo Meneja Mauzo wa Samsung tawi la Tanzania, Bw. Sylvester Nteere (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Ubalozi wa Uswiss nchini, Bw....
10 years ago
Habarileo07 Feb
Takukuru kutoa elimu kwa jamii kuepuka rushwa
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) imesema ina mpango mkakati unaowahusisha wadau mbalimbali wa namna ya kuielimisha jamii ielewe juu ya madhara ya rushwa ili kwa pamoja, iweze kusaidia katika mapambano ya kuitokomeza.
10 years ago
GPLTANZANIA AWARDS INTERNATIONAL LTD KUTOA ‘TUZO YA JAMII’ APRILI 2015
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0323.jpg)
REDIO ZA KIJAMII ZATAKIWA KUTOA ELIMU KWA JAMII
10 years ago
MichuziASKARI POLISI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII
Askari Polisi kote nchini wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii, kwa kuwa kufanya hivyo kutasaidia kuimarisha na kuboresha uhusiano mwema na jamii ambao utasaidia kukabiliana na vitendo vya uhalifu na wahalifu vinavyojitokeza hapa nchini.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Nchini, Abdulrahman Kaniki wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, wahasibu na watunza stoo kutoka mikoa na vikosi vya Jeshi la...
9 years ago
VijimamboDJ WA KINAIJERIA KUFANYA ONYESHO NA KUTOA MSAADA KWA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM