TFF: Yatangaza ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara kwa msimu wa 2015/2016, ambao utakuwa na jumla ya timu 16 badala ya 14 za msimu uliopita.
Ligi Kuu ya Bara imepangwa kuanza Septemba 12 mwaka huu, na itamalizika Mei saba mwakani, lakini itasimama kwa mapumziko kati ya Novemba saba na Desemba 19 mwaka huu, kupisha michuano mbalimbali ya kimataifa.
TFF imetangaza ratiba ya ligi hiyo, na kusema imezingatia ratiba ya mashindano mbalimbali ya kitaifa na...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-P7uz6yOIw_g/Vai8lViOQ2I/AAAAAAABSAg/Eq0NoShawPE/s72-c/MABADILIKO%2BYA%2BLIGI.jpg)
10 years ago
VijimamboKLABU YA RUVU SHOOTING YAUNGANA NA POLISI MORO SC KUSHUKA DARAJA LIGI KUU TANZANIA BARA MSIMU WA MWAKA 2014/2015.
![](https://ramadhaniabubakari.files.wordpress.com/2012/10/81.jpg?w=593&h=311)
Ndanda FC imefanikiwa kubaki ligi kuu Tanzania bara baada ya kuilaza Yanga SC bao 1-0 katika uwanja wa Nangwanda mjini Mtwara.
Kipigo walichopata Polisi Moro SC cha bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kimewafanya kupata tikiti ya kushuka daraja na kuungana na Ruvu Shooting.
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/00.1stand-united-Vs-mtibwa11.jpg)
Kwa upande wa Stend United yenyewe imepata matokeo mazuri ya bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting na kuinusuru timu hiyo kushuka daraja huku ikiiachia dhahama Ruvu Shooting.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/TFF-Tanzania-Prisons.jpg)
Kikosi cha Prison.
Klabu za Polisi Moro SC na Ruvu...
9 years ago
Mwananchi07 Sep
Viwanja vya Ligi Kuu Bara msimu wa 2015/16
9 years ago
Mwananchi07 Sep
MSIMU WA 2015/16 : Nyota wa kuwaangalia Ligi Kuu Bara
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zZnrIWJTAG4/U2ZrgTWIgAI/AAAAAAAFfVk/7GCSzriLp0Y/s72-c/TFF+Logo.jpg)
TIMU 16 KUSHIRIKI LIGI KUU MSIMU WA 2015/2016
![](http://1.bp.blogspot.com/-zZnrIWJTAG4/U2ZrgTWIgAI/AAAAAAAFfVk/7GCSzriLp0Y/s1600/TFF+Logo.jpg)
Mabadiliko hayo yamepitishwa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Mei 3 mwaka huu) jijini Dar es Salaam baada ya kupokea mapendekezo ya kuongeza idadi ya timu kutoka kwenye Kamati ya Mashindano.
Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuongeza ushindani katika ligi hiyo, na kuwezesha wachezaji kupata mechi nyingi zaidi za mashindano. Kwa mabadiliko...
10 years ago
Michuzi26 Sep
11 years ago
Michuzi11 Feb
RATIBA MECHI ZIJAZO LIGI KUU SOKA VODACOM TANZANIA BARA.
Jumatano Februari 12,2014. JKT Ruvu v/s Ruvu Shooting --------------------- Jumamosi Februari 15,2014. Rhino Rangers v/s Mgambo JKT Ashanti United v/s Kagera Sugar Mtibwa Sugar v/s Tanzania Prisons JKT Oljoro v/s JKT Ruvu Mbeya City v/s Simba Ruvu Shooting v/s Coastal Union
MSIMAMO WA LIGI HADI SASA NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 Azam FC 16 10 6 0 29 10 19 36 2 Yanga 16 10 5 1 34 12 22 35 3 Mbeya City 17 9 7 1 24 14 10 34 4 Simba SC 17 8 7 2 33 15 18 31 5 Coastal...
10 years ago
GPLVODACOM NA TFF ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA