Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIMU WA 2015/16 : Nyota wa kuwaangalia Ligi Kuu Bara

Msimu mpya wa Ligi Kuu Bara unaanza Jumamosi hii huku wadau wengi wa soka wakitaka kuona ni timu gani itafanya vizuri na kutwaa ubingwa kutokana na maandalizi iliyofanya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Viwanja vya Ligi Kuu Bara msimu wa 2015/16

Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/16 inaanza mwishoni mwa wiki hii Septemba 12 na itashirikisha timu 16 zitakazokuwa zimetoka mikoa tisa tofauti huku zikicheza kwenye viwanja 13 tofauti.

 

9 years ago

StarTV

TFF: Yatangaza ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara kwa msimu wa 2015/2016, ambao utakuwa na jumla ya timu 16 badala ya 14 za msimu uliopita.

Ligi Kuu ya Bara imepangwa kuanza Septemba 12 mwaka huu, na itamalizika Mei saba mwakani, lakini itasimama kwa mapumziko kati ya Novemba saba na Desemba 19 mwaka huu, kupisha michuano mbalimbali ya kimataifa.

 

TFF imetangaza ratiba ya ligi hiyo, na kusema imezingatia ratiba ya mashindano mbalimbali ya kitaifa na...

 

10 years ago

Vijimambo

KLABU YA RUVU SHOOTING YAUNGANA NA POLISI MORO SC KUSHUKA DARAJA LIGI KUU TANZANIA BARA MSIMU WA MWAKA 2014/2015.

Mgambo JKT.
Ndanda FC imefanikiwa kubaki ligi kuu Tanzania bara baada ya kuilaza Yanga SC bao 1-0 katika uwanja wa Nangwanda mjini Mtwara.


Kipigo walichopata Polisi Moro SC cha bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kimewafanya kupata tikiti ya kushuka daraja na kuungana na Ruvu Shooting.


Kwa upande wa Stend United yenyewe imepata matokeo mazuri ya bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting na kuinusuru timu hiyo kushuka daraja huku ikiiachia dhahama Ruvu Shooting.

Kikosi cha Prison.

Klabu za Polisi Moro SC na Ruvu...

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

9 years ago

Mwananchi

Wachezaji nyota waliosajiliwa, kuachwa msimu huu Ligi Kuu

Wakati dirisha la usajili likifungwa leo saa 6 usiku klabu  mbalimbali zikiwa zimekamilisha harakati zao za usajili tayari kwa kuanza msimu mpya wa ligi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikosi bora cha Ligi Kuu Bara msimu wa 2014/15

>Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 imemalizika juzi huku Yanga ikitwaa ubingwa na Polisi Moro pamoja na Ruvu Shooting zikishuka daraja.

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota wa Ligi Kuu Bara ambao kadi hazichezi mbali nao

Milango ya Ligi Kuu Bara ipo wazi na timu zinatarajiwa kushuka dimbani mwishoni mwa wiki hii kuanza mbio za kuwania ubingwa.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Je, Simba itarudi kuwa Simba halisi msimu huu?

Ukiwa shabiki wa Simba, hakuna kitu kilichoumiza kama kumuona nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akikabidhiwa taji la 24 la ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita. Uwe mbele ya televisheni ya Azam TV, au kama ulikuwa uwanjani, ilikuwa picha inayoumiza sana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani