Simba yataka mashabiki kumpa muda Sserunkuma
UONGOZI wa Klabu ya Simba umewataka mashabiki wake kumpa muda mshambuliaji wao, Dan Sserunkuma ili aweze kufanya vizuri katika mechi za ligi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Sserunkuma asaini Simba
Simba imempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wa Gor Mahia ya Kenya, Dan Sserunkuma, imethibitika rasmi.
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Sserunkuma atuliza mizuka Simba SC
Simba imewapoza roho mashabiki wake waliokuwa na hasira baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 2- 1 dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo mkali wa Ligi Kuu Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Sserunkuma: Sitaki kuondoka Simba hadi 2016
Mshambuliaji Dan Sserunkuma amesema yeye bado ni mchezaji wa Simba na wala hafikirii kuondoka Msimbazi kwa sasa na hayo yote yanayosemwa dhidi yake ni uzushi.
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Simba yawatupia virago N’daw na Sserunkuma, Kiongera ndani
Klabu ya Simba imeachana na washambuliaji wake, Pape N’daw na Simon Sserunkuma na kumrudisha kiungo Raphael Kiongera.
10 years ago
Michuzi14 Aug
SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE WA BAHATI NASIBU ILIYOICHEZWA SIMBA DAY
Uongozi wa klabu ya Simba leo umetoa zawadi kwa washindi wa bahati na sibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Zawadi zilizo kabidhiwa kwa washindi ni jezi pamoja simu, kila mshindi amepata jezi ya juu pea moja pamoja na simu moja aina ya Motec. Washindi wa zawadi hizo ni Jeremia Venist, Ahazi Mwembe pamoja na Marko Mgimba. Mbali na zawadi hizo, klabu hiyo pia...
10 years ago
MichuziSimba yapanga kumpa gari mchezaji bora wa timu hiyo
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, Rais wa Simba Evans Aveva alisema kuwa chini ya uongozi wake wameanzisha tuzo hizo kwa wachezaji wa Simba ili kuibua morali ya wachezaji na kuthamini mchango wao na hiyo imekuja baada ya klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi kuingia mkataba wa miaka mitano na Kampuni ya EAG ambao watakuwa na jukumu la...
10 years ago
Bongo513 Dec
Ray (Yanga) kumpa JB milioni 1 na kuvaa jezi ya Simba baada ya kufungwa
Kabla ya mechi ya ‘Nani Mtani Jembe’ kati ya Yanga na Simba mashabiki wa timu hizo mbili ambao ni wasanii wa filamu, Vicent ‘Ray’ Kigosi na JB walipinga yoyote atakayefungwa atavaa jezi ya mwenzake na kumkabidhi zawadi ya shilingi milioni 1. Ray ambaye ni shabiki wa Yanga itambidi avae jezi ya Simba pamoja na kumkabidhi […]
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Mtibwa Sugar yataka ‘salio’ Simba
SIKU chache baada ya Klabu ya Simba kumsainisha kipa Hussen Sharif ‘Casillas’, kutoka Mtibwa Sugar, wakali hao kutoka Turiani, Morogoro, wameibuka na kusema usajili wa nyota huyo ni kinyume na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania