Simba yawatupia virago N’daw na Sserunkuma, Kiongera ndani
Klabu ya Simba imeachana na washambuliaji wake, Pape N’daw na Simon Sserunkuma na kumrudisha kiungo Raphael Kiongera.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania01 Sep
N’daw afunga usajili Simba
MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI raia wa Senegal, Pape N’daw, ameifungia usajili klabu ya Simba baada ya juzi kufuzu majaribio yake na kupewa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo kwenye Ligi Kuu msimu huu unaotarajia kuanza Septemba 12.
Sambamba na mchezaji huyo pia Simba imempa mkataba wa miaka miwili Boniface Maganga kutoka kituo cha soka cha Marsh Athletes Academy kilichokua kinasimamiwa na aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Sylvster Marsh,...
9 years ago
Habarileo05 Nov
Kocha Simba azidi kumkumbatia N’daw
PAMOJA na uongozi wa Simba kutoridhishwa na kiwango cha mshambuliaji raia wa Senegal, Pape Abdoulaye N’daw, kocha wa timu hiyo Dylan Kerr, ameendelea kusisitiza huyo bado ni mchezaji muhimu na kwamba kinachotakiwa ni kuendelea kumpa muda ili aweze kuzoea mazingira ya Ligi ya Tanzania Bara.
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Sserunkuma asaini Simba
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Sserunkuma atuliza mizuka Simba SC
10 years ago
Habarileo29 Jan
Simba yataka mashabiki kumpa muda Sserunkuma
UONGOZI wa Klabu ya Simba umewataka mashabiki wake kumpa muda mshambuliaji wao, Dan Sserunkuma ili aweze kufanya vizuri katika mechi za ligi.
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Sserunkuma: Sitaki kuondoka Simba hadi 2016
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Kiongera achelewesha kikosi Simba
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Kiongera, Majwega washusha presha Simba
10 years ago
Mtanzania03 Sep
Kiongera akabidhiwa jezi ya Mosoti Simba
![Mshambuliaji mpya wa Simba, Paul Kiongera](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Kiongera.jpg)
Mshambuliaji mpya wa Simba, Paul Kiongera
NA HUSSEIN OMAR, UNGUJA
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Paul Kiongera, amewasili katika kambi ya timu hiyo, iliyopo mjini hapa kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.
Simba imeweka kambi hapa ikiwa chini ya Kocha Mkuu wake, Mzambia Patrick Phiri na Jumamosi inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na Gor Mahia ya Kenya, katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Kiongera, aliyewasili hapa juzi usiku, jana alijumuika na...