N’daw afunga usajili Simba
MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI raia wa Senegal, Pape N’daw, ameifungia usajili klabu ya Simba baada ya juzi kufuzu majaribio yake na kupewa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo kwenye Ligi Kuu msimu huu unaotarajia kuanza Septemba 12.
Sambamba na mchezaji huyo pia Simba imempa mkataba wa miaka miwili Boniface Maganga kutoka kituo cha soka cha Marsh Athletes Academy kilichokua kinasimamiwa na aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Sylvster Marsh,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo05 Nov
Kocha Simba azidi kumkumbatia N’daw
PAMOJA na uongozi wa Simba kutoridhishwa na kiwango cha mshambuliaji raia wa Senegal, Pape Abdoulaye N’daw, kocha wa timu hiyo Dylan Kerr, ameendelea kusisitiza huyo bado ni mchezaji muhimu na kwamba kinachotakiwa ni kuendelea kumpa muda ili aweze kuzoea mazingira ya Ligi ya Tanzania Bara.
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Simba yawatupia virago N’daw na Sserunkuma, Kiongera ndani
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Usajili Simba shaka
10 years ago
Mwananchi17 Jun
USAJILI SIMBA : Hatuwataki
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3
10 years ago
Mwananchi19 Nov
USAJILI: ‘First Eleven’ mpya Simba!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRPDiKmkEeVARn6qDXBIGepcMeEpBMKZd6DWUj4jEP*ukbvz3il2wuWg16fjcU0uiCRQbVrqrR8YR0kkpZecawhT/1.gif)
usajili wa Okwi waivuruga simba
10 years ago
Mwananchi25 May
USAJILI: Yanga, Simba yametimia
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Simba yasafisha usajili wake