USAJILI: ‘First Eleven’ mpya Simba!
>Matokeo yasiyoridhisha ya Simba katika Ligi Kuu msimu huu yameufanya uongozi wa klabu hiyo uchanganyikiwe na kutaka kusajili kila mchezaji wamwonaye wakati huu wa usajili wa dirisha dogo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Phiri atoa saa 336 first eleven ya hatari Simba
Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Na Waandishi Wetu
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, ametoa wiki mbili au dakika 336 kabla ya kupata first eleven ya hatari itakayompa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu ujao. Phiri aliyetua Simba wiki iliyopita kuchukua mikoba ya Mcroatia, Zdravko Logarusic na Championi likawa gazeti la kwanza kuandika, yupo kisiwani Zanzibar akiendelea kuinoa timu hiyo. Phiri aliyeipa Simba...
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Usajili Simba shaka
Kundi maarufu la Friends Of Simba wamesimamisha zoezi la usajili la wachezaji wa klabu hiyo wakidaiwa kupima kwanza upepo.
10 years ago
Mwananchi17 Jun
USAJILI SIMBA : Hatuwataki
Wakati Simba ikishindwa kusajili wachezaji nyota kwa madai ya kutokuwa kwenye hesabu zao za mwanzo, nyota hao wameibuka na kusema usajili wao ulikwamishwa na maneno matupu ya uongozi wa klabu hiyo.
11 years ago
Mwananchi04 Sep
Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3
Kama mtindo wa kupiga kura utatumiwa na Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuamua hatima ya mshambuliaji Emmanuel Okwi, basi Yanga ina uhakika wa kupata kura nne na Simba kura tatu.
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Simba yafunga rasmi usajili
Klabu ya Simba imeeleza kufunga rasmi usajili wake huku ikimleta kocha kutoka Uganda kusaidiana na kocha mkuu, Dylan Kerr.
10 years ago
Mwananchi25 May
USAJILI: Yanga, Simba yametimia
>Yanga imeshinda vita ya nje ya Uwanja baada ya kuipata saini ya kiungo Deus Kaseke aliyekuwa akiwaniwa na watani wao, Simba kwa muda mrefu.
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Simba yasafisha usajili wake
>Klabu ya Simba  imesema tayari imerekebisha kasoro iliyojitokea kwenye usajili wake na sasa hailazimiki kupunguza mchezaji yeyote kwenye kikosi chake.
10 years ago
GPL
usajili wa Okwi waivuruga simba
Emmanuel Okwi. Waandishi Wetu,Dar es Salaam
HATIMAYE kigogo wa Simba, Zacharia Hans Poppe, ameamua kuzima utata uliokuwa ukienea katika ishu ya usajili wa mshambuliaji wao, Mganda, Emmanuel Okwi na kufafanua kuwa ameuzwa na si kwa majaribio kama taarifa zilizoenea hapo awali. Awali, kulikuwa na mkanganyiko wa taarifa mbili tofauti, ambapo nyingine zilisema Okwi ameuzwa huku nyingine zikikanusha kwamba anakwenda kufanya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania