Phiri atoa saa 336 first eleven ya hatari Simba
![](http://api.ning.com:80/files/rFFi-SX8PjVwtRkM2AJt5DcLJvD4kOpr0f*S08KVkY7GM7FUNDWVxb-J3QJq-obJ41slfm5F6AvZQflgU5VpXaIEPHO-C7IG/phili.jpg)
Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Na Waandishi Wetu KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, ametoa wiki mbili au dakika 336 kabla ya kupata first eleven ya hatari itakayompa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu ujao. Phiri aliyetua Simba wiki iliyopita kuchukua mikoba ya Mcroatia, Zdravko Logarusic na Championi likawa gazeti la kwanza kuandika, yupo kisiwani Zanzibar akiendelea kuinoa timu hiyo. Phiri aliyeipa Simba...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi22 Aug
Saa 48 hatari za Msenegali wa Simba
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Phiri: Jaja ni mtu hatari
10 years ago
Mwananchi19 Nov
USAJILI: ‘First Eleven’ mpya Simba!
10 years ago
TheCitizen30 Oct
Simba’s Phiri given ultimatum
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXmeIACEcj0LXe5NNeKBIEIyAaFjJWchfTWpuRg8J-WB7KDaH8VB8UAfZcyY7zkJOhCxDJtzMLiKJk7i9TbW9fZ/sensuality1.jpg?width=650)
Saa mbili za Mrwanda Yanga ni hatari
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Saa 24 za hatari kwa Okwi, Mosoti
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Saa 48 za hatari kwa kiungo Yanga SC
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Phiri kurudisha heshima Simba
![Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Patrick-Phiri.jpg)
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA JENNIFER ULLEMBO
KOCHA mpya wa klabu ya Simba, Patrick Phiri, ametua nchini jana na kusema amekuja na malengo ya kurudisha heshima katika timu hiyo ambayo imepotea katika kipindi ambacho imekuwa haifanyi vizuri.
Phiri ni kocha mwenye historia nzuri na klabu hiyo msimu wa ligi kuu wa 2009/2010, ambapo aliweza kuisababisha timu yake hiyo kutwaa ubingwa wa ligi hiyo bila kufungwa mchezo hata mmoja.
Licha ya kuweka rekodi hiyo, lakini pia amewahi kunyakua...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Goran kumrithi Phiri Simba