Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Simba azidi kumkumbatia N’daw

PAMOJA na uongozi wa Simba kutoridhishwa na kiwango cha mshambuliaji raia wa Senegal, Pape Abdoulaye N’daw, kocha wa timu hiyo Dylan Kerr, ameendelea kusisitiza huyo bado ni mchezaji muhimu na kwamba kinachotakiwa ni kuendelea kumpa muda ili aweze kuzoea mazingira ya Ligi ya Tanzania Bara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

N’daw afunga usajili Simba

Guirane-N-Daw-Birmingham-City-1024_2700680MWALI IBRAHIM NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI raia wa Senegal, Pape N’daw, ameifungia usajili klabu ya Simba baada ya juzi kufuzu majaribio yake na kupewa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo kwenye Ligi Kuu msimu huu unaotarajia kuanza Septemba 12.

Sambamba na mchezaji huyo pia Simba imempa mkataba wa miaka miwili Boniface Maganga kutoka kituo cha soka cha Marsh Athletes Academy kilichokua kinasimamiwa na aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Sylvster Marsh,...

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yawatupia virago N’daw na Sserunkuma, Kiongera ndani

Klabu ya Simba imeachana na washambuliaji wake, Pape N’daw na Simon Sserunkuma na kumrudisha kiungo Raphael Kiongera.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Simba atimka

IKIWA imebaki siku moja kuchezwa kwa pambano la watani wa jadi la Simba na Yanga, klabu ya Simba imeachana na kocha wake wa viungo Dusan Marmcilovic, imeelezwa.

 

10 years ago

Habarileo

Simba wamchefua kocha

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema licha ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya SCVilla ya Uganda juzi, hajafurahishwa na kiwango cha wachezaji wake.

 

11 years ago

GPL

KOCHA SIMBA AFARIKI

James Kisaka enzi za uhai wake. Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu. Global Publishers tunatoa pole kwa ndugu na jamaa. MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.… ...

 

10 years ago

Habarileo

Kocha wa Simba asifia KMKM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba Dylan Kerr ameimwagia sifa klabu ya KMKM kutokana na kiwango cha wachezaji wake walichokionesha katika mchezo wa kirafiki kati yao uliochezwa juzi. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Amani Simba ilishinda mabao 3-2.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Kibadeni arudishwa Simba

Rais wa Simba, Evans Aveva amemrudisha kundini kocha wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni kwa kumteua kuwa makamu wa mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya klabu hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Simba arejea kwao

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic amerudi kwao Serbia na bado haijajulikana kama atarudi kuifundisha klabu hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA YAMTIMUA KOCHA WAKE

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana jioni wakati akitoa taarifa ya kumfuta kazi kocha aliyekuwa akiinoa timu hiyo,Zdravko Logarusic 'Loga' (hayupo pichani). Wengine pichani ni Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba, Collin Frisch na Saidi Tully. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Klabu ya Simba, Collin Frisch (kulia), akimsindikiza kwenda kupanda gari kocha wa timu hiyo Zdravko Logarusic...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani