Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOCHA SIMBA AFARIKI

James Kisaka enzi za uhai wake. Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu. Global Publishers tunatoa pole kwa ndugu na jamaa. MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KOCHA MARSH AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh enzi za uhai wake. Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh, amefariki dunia asubuhi ya leo. Marsh alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuungua maradhi ya saratani ya koo kwa muda mrefu, awali alilazwa hapo akapata nafuu na kupelekwa kwao Mwanza, lakini wiki iliyopita alirudishwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kocha wa zamani wa Ghana afariki

Mchezaji maarufu wa kandanda wa Ghana aliyekuwa mchezaji na kocha Charles Kumi Gyamfi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85

 

10 years ago

CloudsFM

ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA

Aliye kuwa kocha wa zamani wa timu ya Taifa Star Sylvester Marsh amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Saratani ya koo kwa muda mrefu Sylvester enzi za uhai wake alishawahi kufanya kazi kakita timu tofauti tofauti ikiwemo timu ya Toto Africa Mwanza,Kagera Suger ,Azam FC ya Dar Es Salaam na Taifa Stars Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi Amen

 

11 years ago

GPL

KOCHA ALIYEIPA SPAIN UBINGWA WA ULAYA AFARIKI DUNIA LEO

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Luis Aragones amefariki dunia, akiwa na miaka 75, jumamosi ya leo katika clinic moja jijini Madrid, daktari Pedro Guillen amethibitisha. Kocha huyu atakumbukwa kwa kuiongoza Hispania katika awamu mpya ya mafanikio mnamo mwaka 2008, alipoiwezesha timu hiyo kutwaa kombe la EURO na baada ya hapo alistaafu na kumpisha Del Bosque. Aliifundisha Spain kuanzia mwaka 2004 - 2008. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

PIGO WADAU WA SOKA NCHINI: Kocha Sylvester Marsh afariki dunia mapema leo

Marsh (kushoto) enzi za Uhai wake akiwa na kocha mkuu wa timu ya Taifa wakatoi huo Pousan

Marsh (kushoto) enzi za uhai wake akiwa na Kocha mkuu wa timu ya Taifa wakati huo, Kim Paulsen.

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Habari zilizotufikiaa chumba cha habari cha mtandao huu wa Mo dewji blog,  ni kuwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Sylvester Marsh amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Taarifa hizo zilibainisha kuwa, Marsh alipatwa na umauti huo alipokuwa akiendelea na matibabu  ya maradhi...

 

10 years ago

Habarileo

Simba wamchefua kocha

KOCHA wa Simba, Dylan Kerr amesema licha ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya SCVilla ya Uganda juzi, hajafurahishwa na kiwango cha wachezaji wake.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Simba atimka

IKIWA imebaki siku moja kuchezwa kwa pambano la watani wa jadi la Simba na Yanga, klabu ya Simba imeachana na kocha wake wa viungo Dusan Marmcilovic, imeelezwa.

 

11 years ago

GPL

Matola Kocha Mkuu Simba

Na Mwandishi Wetu
SELEMANI Matola ataonja utamu wa kuwa Kocha Mkuu Simba kwa zaidi ya saa 96 baada mwenye nafasi hiyo kuridhia aitumikie. Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic, amekubali Matola apewe nafasi hiyo kuanzia leo Jumatatu hadi Ijumaa asubuhi atakapowasili akitokea kwao Croatia.
Chanzo kimesema hali hiyo inatokana na Logarusic kuchelewa kurejea nchini. “Kweli kocha katuambia atachelewa na nafasi ya ukocha mkuu apewa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Simba arejea kwao

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic amerudi kwao Serbia na bado haijajulikana kama atarudi kuifundisha klabu hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani