Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha wa Simba asifia KMKM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba Dylan Kerr ameimwagia sifa klabu ya KMKM kutokana na kiwango cha wachezaji wake walichokionesha katika mchezo wa kirafiki kati yao uliochezwa juzi. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Amani Simba ilishinda mabao 3-2.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Kocha Marekani asifia uwezo wachezaji wake

Kocha wa timu ya taifa ya Marekani, Jurgen Klinsmann amekipongeza kikosi chake licha ya kutolewa katika hatua ya mtoano ya timu 16 za Kombe la Dunia dhidi ya Ubelgiji, akisema wana nafasi ya kufanya makubwa katika siku zijazo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Simba yaitungua KMKM 5-0

TIMU ya Simba chini ya Kocha wake Mzambia, Patrick Phiri, juzi ilituma salamu kwa timu za Ligi Kuu ya Tanzania bara, baada ya kuwafumua maafande wa KMKM mabao 5-0. Katika...

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAICHAKAZA KMKM 5-0 ZANZIBAR

 SIMBA SC imewafunga mabingwa wa Zanzibar, KMKM mabao 5-0 katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar.KMKM inayofundishwa na Ally Bushiri ‘Bush’ ambayo Jumatano wiki hii ilifungwa 2-0 na Yanga SC, leo iligeuzwa asusa na Wekundu wa Msimbazi.
Simba SC ilikwenda kupumzika ikiwa inaongoza mabao 4-0, yaliyotiwa kimiani na Amisi Tambwe mawili, Amri Kiemba na Shaaban Kisiga ‘Malone’ moja kila mmoja.

Amri Kiemba ndiye aliyefungua karamu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba nayo yajipigia KMKM

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba, wameendeleza machungu kwa mabingwa wa soka Zanzibar, maafande wa KMKM, baada ya kuwachapa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Kipigo hicho, kinakuja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba SC, KMKM zarushana kichura

TIMU ya Simba usiku wa leo itashuka dimbani kucheza mechi ya mwisho ya hatua ya makundi dhidi ya maafande wa KMKM katika mfululizo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Mechi...

 

11 years ago

Mwananchi

KMKM kucheza na Yanga, Simba

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja atashuka uwanjani kwa mara ya kwanza kuikabili timu ya KMKM ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

TheCitizen

Resurgent Simba face KMKM test in Zanzibar

Tanzanian football giants Simba take on KMKM at the Amaan Stadium today in what will their final friendly match before returning to Dar es Salaam for Simba Day.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yawavaa KMKM leo, Mbeya City, Ashanti hoi

>Kocha mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic leo ataiongoza timu yake kuikabili KMKM kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani