Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOKII AJIWEKA KWA KOCHA WA YANGA

mwandishi wetu/ijumaawikienda
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ ameanzisha urafiki wa karibu sana na Kocha wa Timu ya Yanga, Hans van der Pluijm, Raia wa Uholanzi. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ akiwa na kocha wa Yanga. Ukaribu wa Dokii na kocha huyo ulichipukia kwa kasi Januari, mwaka huu walipokutana katika Kombe la Mapinduzi, Zanzibar kisha kuzidi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kocha Nooij ajiweka njiapanda TFF

Timu ya Taifa ya soka, Taifa Stars, sasa ndiyo habari ya mjini. Kufanya vibaya kwa timu hiyo kwenye Mashindano ya Nchi za Kusini mwa Afrika (Cosafa) ilikoalikwa, kumewafanya wadau wa soka nchini kuiponda, wengine wakitupa lawama kwa kocha Mart Ignatius Nooij, wakitaka afukuzwe.

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Yanga ajitetea kwa Tegete

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amejitetea kwa uamuzi wake wa kumtoa mshambuliaji Jeryson Tegete na kumwingiza Hussein Javu wakati wa mechi dhidi ya Prisons.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanacheza na Mbeya City leo kwenye Uwanja wa Sokoine, lakini kocha wao mkuu, Hans Pluijm amewaambia vijana wake ili mchezo huo uwe na manufaa kwao, waache na utovu wa nidhamu, wasiwaige wapinzani wao.

 

10 years ago

Mtanzania

Drake ajiweka tena kwa Rihanna

BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
BAADA ya kuwa katika uhusiano kwa muda mfupi na kisha kuachana, mwana hip hop kutoka kundi la Young Money, Aubrey Graham ‘Drake’ na msanii Rihanna wanaelezwa kurudiana upya, baada ya kuonekana maeneo mbalimbali wakifurahia umoja wao.
Miaka miwili iliyopita Drake aligombana na Chris Brown baada ya msanii huyo kuwa na uhusiano na Rihanna, wakati akijua kwamba mwanadada huyo alikuwa na uhusiano na Chris.
Ukubwa wa mgogoro huo ulifikia kipindi walirushiana chupa wakiwa...

 

10 years ago

GPL

DOKII ATIMIZA AHADI YA SHAMBA KWA LUCY KOMBA

Stori: Imelda Mtema
 MSANII mkongwe wa filamu Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amemkabidhi swahiba wake Lucy Komba, kiwanja chenye ukubwa wa robo hekari, kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni kutekeleza ahadi aliyoitoa kwenye kicheni pati yake. Msanii mkongwe wa filamu Ummy Wenslaus ‘Dokii’. “Mimi naona tunaendana kitabia na Lucy, alinipa kazi moja...

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA: AJIWEKA KIMAPENZI KWA WYRE

Stori: Shani Ramadhani
MWANADADA  anayefanya vizuri katika muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ kwa sasa amejiweka kimapenzi na msanii anayetamba Kenya, Kevin Wyre baada ya kuwepo kwa tetesi za kutemana na mtu wake wa awali, Joe Kairuki aliyekuwa pia ni meneja wake. Mwanadada anayefanya vizuri katika muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ akipozi na Kevin Wyre. Watu walio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani