Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Drake ajiweka tena kwa Rihanna

BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
BAADA ya kuwa katika uhusiano kwa muda mfupi na kisha kuachana, mwana hip hop kutoka kundi la Young Money, Aubrey Graham ‘Drake’ na msanii Rihanna wanaelezwa kurudiana upya, baada ya kuonekana maeneo mbalimbali wakifurahia umoja wao.
Miaka miwili iliyopita Drake aligombana na Chris Brown baada ya msanii huyo kuwa na uhusiano na Rihanna, wakati akijua kwamba mwanadada huyo alikuwa na uhusiano na Chris.
Ukubwa wa mgogoro huo ulifikia kipindi walirushiana chupa wakiwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Drake na Rihanna warudiana? waonekana night club pamoja

Drake na Rihanna wameanza kuonekana tena pamoja baada ya wawili hao kusemekana kutibuana na kila mmoja kuchukua hamsini zake siku za karibuni. Rihanna na Drake wameonekana kwenye club moja iitwayo Griffin nightclub iliyoko New York Jumatatu usiku, na kuamsha hisia za watu wengi kuwa kuna uwezekano mapenzi yao yamerudi. Inadaiwa kuwa Riri na Drizzy waliingia […]

 

11 years ago

Bongo5

Rihanna awadiss Drake na Chris Brown, asema Eminem ndiye mwanaume wa kweli

Rihanna anahisi Drake na Chris Brown bado wana harufu ya maziwa ya mama zao, na Eminem ndiye mwanaume halisi. Rihanna, 26, yupo kwenye ziara ya pamoja na Eminem, 41, Monster na kwa mujibu waHollywoodLife.com, Riri anapenda kupanda jukwaani na Eminem na anadai kuwa ni muda mrefu tangu atumbuize na ‘mshindi wa kweli’. Kwa mujibu wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Meek Mill amdiss tena Drake kwenye ngoma hii

Meek-Mill

Beef ya Meek Mill na Drake haioneshi dalili ya kuisha mapema.

Katika muda ambao wengi tulianza kusahau, Meek anarudi tena na nyundo kwa rapper huyo wa Canada itakayokuwepo kwenye mixtape yake ya Dreamchasers 4.

Video fupi ya Meek Mill inayomuonesha akichana mistari michache ya wimbo huo imesambaa mtandaoni.

“When I was saying shit about the rhymes you ain’t wrote / I can’t wait ’til we run in ya / I’ma put a gun in ya,” rapper huyo wa Philadelphia anarap kwenye video hiyo.

Katikati ya...

 

10 years ago

Bongo5

Tetesi za uhusiano kati ya Rihanna na Benzema zazidi kukua, waonekana tena pamoja

Mambo yanazidi kupamba moto kati ya Rihanna na mchezaji wa soka wa klabu ya Real Madrid, Karim Benzema. Wawili hao wameonekana wakila bata pamoja kwenye klabu ya Hollywood usiku wa Jumatatu. Kwa mujibu wa TMZ wawili hao walionekana wakitoka kwenye kiota cha Henry’s na ingawa kila mmoja alitoka kivyake, ilikuwa wazi kuwa walikuwa pamoja. Hiyo […]

 

11 years ago

Bongo5

Dr Dre aongoza tena ‘ 2014 Hip Hop Cash Kings’, akifuatiwa na Jay Z, Diddy na Drake

Jarida la Forbes limetoa orodha yake ya wasanii wa Hip Hop wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka huu, ‘The 2014 Hip-Hop Cash Kings’ na Dr Dre amekamata nafasi ya kwanza kwa mara nyingine. Dre Dre amepewa ufalme huo kwa kutengeneza $620 million kupitia biashara zake, na kumfanya arudi kwenye nafasi ya kwanza aliyoikamata mwaka […]

 

10 years ago

Bongo5

Rihanna asema akipata nafasi ya kuja tena Afrika itakuwa ni kwaajili ya show ya bure!

Katika mahojiano na jarida la The New York Style, mwimbaji wa Barbados, Rihanna amesema kuwa endapo atapata nafasi ya kuja tena Afrika basi huenda ikawa ni kwaajili ya kufanya show ya bure. Bahati mbaya ni kuwa hii haiwahusu mashabiki wa Afrika Mashariki kwasababu staa huyo alikuwa akizungumzia Afrika Magharibi. “You know what? If I ever […]

 

11 years ago

Bongo5

Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!

Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna. Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris Brown akiwa kitandani na Rihanna na kumtag Breezy ambaye naye ali ‘like’, kwa mujibu wa TMZ hiyo ni moja ya sababu ya Karrueche ku’switch […]

 

10 years ago

GPL

DOKII AJIWEKA KWA KOCHA WA YANGA

mwandishi wetu/ijumaawikienda
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ ameanzisha urafiki wa karibu sana na Kocha wa Timu ya Yanga, Hans van der Pluijm, Raia wa Uholanzi. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ akiwa na kocha wa Yanga. Ukaribu wa Dokii na kocha huyo ulichipukia kwa kasi Januari, mwaka huu walipokutana katika Kombe la Mapinduzi, Zanzibar kisha kuzidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani