Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIBANO! TRAFIKI WAMGUNGIA KZI DEREVA JEURI

Stori: Deogratius Mongela na gabriel ng’osha
DEREVA wa Basi la Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta akipewa kibano hevi na askari wa usalama barabarani ‘trafiki’ baada ya kuleta ubabe wakati alipotakiwa kutii sheria bila shuruti. Askari wa usalama barabarani ‘trafiki’ wakimdhibiti dereva wa basi la Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?

Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...

 

11 years ago

GPL

DEREVA BODABODA ACHEZEA KICHAPO CHA TRAFIKI

Dereva bodaboda (hakutambulika jina lake) baada ya kupokea kichapo cha askari wa usalama barabarani (nae hakutambulika jina)eneo la Vingunguti
........akionesha uso wa hudhuni baada ya kichapo. Askari wa usalama barabaranui (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva bodaboda eneo la vingunguti jijini dar. Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya mchana wakati dereva huyo alipokutana na...

 

5 years ago

Michuzi

MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI

AJALI YA GARI KUGONGA BAJAJI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kibano kipya

WAMILIKI wa viwanda na mashirika ya umma yasiyopungua 17 kati ya 74 yaliyobinafsishwa kwa wawekez

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kibano bungeni


Posho sasa kudhibitiwa, Kiti chapewa runguKanuni kali kuwabana wajumbe watoroVinara wa zomea zomea, matusi kukiona
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza kuwepo kwa kanuni kali za kuwadhibiti wanaozomea na kutoa lugha chafu ili kurejesha heshima ya bunge hilo.
Pia wamependekeza wajumbe wote wanaotoroka kuhudhuria vikao vya Bunge, kutolipwa posho za vikao pamoja na kumpa rungu mwenyekiti la kuwaadhibu wote watakaokwenda kinyume.
Mapendekezo ya mabadiliko ya kanuni hizo, yanatokana na...

 

11 years ago

GPL

WAREMBO WALA KIBANO

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro Imekaa poa sana! Miezi kadhaa baada ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers kufichua uchafu wa biashara haramu ya ngono kwenye Mtaa wa Mwanzo Mgumu, Kata ya Mwembesongo, maeneo ya Msamvu mjini hapa, warembo wanaojiuza eneo hilo wamekula kibano na malori yanayopaki mahali hapo yametimuliwa. Baadhi ya machangu walionaswa wakijiuza. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, kiongozi wa mtaa...

 

9 years ago

Mtanzania

Marekani yaipa kibano Tanzania

MTZ IJUMAA new1.indd*Yaitaka Serikali itoe maelezo uchaguzi Zanzibar, sheria ya mtandao

*Yatishia kusitisha msaada wa trilioni moja za MCC

 

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MFUKO wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani umeonya kuwa hali ya kisiasa Zanzibar na tukio la hivi karibuni la watu kukamatwa chini ya sheria mpya ya uhalifu mtandaoni yanaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada.

Katika barua ya MCC ya Novemba 19, ambayo imesainiwa na Naibu Makamu wa Rais wa Idara ya Operesheni ya...

 

9 years ago

Mwananchi

TBC yapata kibano kingine

Wakati Wizara ya Habari ikiwa imeliagiza Shirika la Utangazaji (TBC) kuwasilisha maelezo ya kina kuhusu uamuzi wa kurusha matangazo ya moja kwa moja ya harusi ya mkazi mmoja wa Dar es Salaam, shauri hilo pia litapelekwa kwenye Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

 

10 years ago

Vijimambo

Tibaijuka ala kibano, bado Ngeleja.

Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka.
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka, alikumbana na ‘kibano’ mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kusomewa mashtaka matatu na baraza hilo, likiwamo la kuomba fedha katika Kampuni ya VIP Consultant, inayomilikiwa na James Rugemalira, kinyume cha maadili ya viongozi wa umma.

Mashtaka mengine yanayomkabili Prof. Tibaijuka, ambaye alivuliwa Uwaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Rais Jakaya Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani