Kisukari chazidi kuwatesa Watanzania
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema kuna wastani wa wagonjwa 3,375,000 wa kisukari nchini, idadi ambayo ni kubwa kulinganisha na ya awali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Nov
Watanzania washauri kufuata mfano wa kliniki za Kisukari
Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kushilikiana na Shirika la kisukari kimataifa la International Diabetes Federation (IDF) walianzisha Siku ya Kisukari Duniani mnamo mwaka 1991 ili kuadhimisha kuzaliwa kwa mwanasayansi Frederick Banting ambaye kwa kushirikiana na Charles Best aligundua tiba muhimu kwa wagonjwa wa kisukari ya insulin mnamo mwaka 1922.
Novemba 14 Kila mwaka mashirika ya kiserikali, mashirika binafsi, wagonjwa wakisukari na wadau mbalimbali hukutana ili kuadhimisha siku hii...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Kliniki za kisukari kutoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India
from left to Right – Sangita Reddy, Chairperson, Apollo Sugar and Joint Managing Director, Apollo Hospitals, Christopher A. Viehbacher, Chief Executive Officer, Sanofi, Dr. Prathap Reddy, Chairman – Apollo Hospitals Group and Dr. Deepak Chopra, Renowned Global Spiritual Guru.
Hospitali maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za...
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Kipindupindu chazidi kuua Sengerema
9 years ago
StarTV23 Sep
Kipindupindu chazidi kuwa tishio Dar:
Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuwa tishio kwa afya na maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa na vifo katika manispaa mbili kati ya tatu za jiji hilo.
Ugonjwa huo awali uliikumba Manispaa ya Kinondoni lakini sasa umeenea katika Manispaa ya Ilala na Temeke ambako kumelazimisha kufungwa baadhi ya visima vya maji na kupigwa marufuku biashara ya vyakula na matunda.
Hadi sasa imethibitishwa jiji la Dar es Salaam kuwa bado si salama kwa ugonjwa wa...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-T6WZoRa36c8/XlUbQbkeVQI/AAAAAAACzZ0/dKEflFk03q4120sCaCazGsTW81Q9T1rKgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
CHAMA CHA CHADEMA CHAZIDI KUKIMBIWA NA VIONGOZI WAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-T6WZoRa36c8/XlUbQbkeVQI/AAAAAAACzZ0/dKEflFk03q4120sCaCazGsTW81Q9T1rKgCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Diwani kutoka Kata ya Hunyari iliyopo Halmashauri ya Bunda mkoani Mara Makina Josephat ametangaza kuhama Chadema na kuhamia CCM.
Makina ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Bunda na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hiko kikuu cha upinzani ametangaza uamuzi huo leo jijini Dodoma na kupokelewa na MNEC wa CCM, Ismail Jamaa.
Akizungumza baada ya kumpokea Diwani huyo, MNEC Jamaa amesema wamempokea kiongozi huyo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa na kwamba taratibu zingine za kumpokea...
9 years ago
StarTV29 Sep
Kipindupindu chazidi kuwa tishio chapiga hodi singida 11 walazwa.
WAKATI ukiwa bado ukiendelea kutikisa katika Jiji la Dar-es-Salamu na kuua watu wengi, ugonjwa wa Kipindupindu umeingia katika Manispaa ya Singida ambapo watu 11 wamelazwa kwenye kambi iliyotengwa eneo la viwanja vya Mandewa kwa ajili ya kutibu wenye dalili za ugonjwa huo.
Tayari watu watatu miongoni mwa 11 waliozwa kwenye kambi iliyoanzishwa wakiharisha na kutapika, wamefanyiwa vipimo vya kitaalamu na kubainika kuwa na ugonjwa huo hatari wa kipindupindu.
Akizungumza na waandishi wa habari...
11 years ago
BBCSwahili03 May
Mexico yadaiwa kuwatesa mahabusu
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Dawa za kulevya zazidi kuwatesa vijana
10 years ago
Mwananchi09 Jun
Talaka zazidi kuwatesa watoto, wanawake Z’bar