Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mexico yadaiwa kuwatesa mahabusu

Afisa wa Umoja wa Mataifa amesema Mexico imekua ikiwatesa watuhumiwa katika maeneo mbali mbali ya taasisi za serikali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.

PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANIPolisi wamesema mpaka kieleweke, M-Nigeria Roho Juu
Stuttgart,Ujerumani,Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LASITISHA KUTEMBELEWA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU GEREZANI, MAHABUSU WAPYA KUPOKELEWA KWA KUHAKIKI AFYA ZAO

Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiMAHABUSU wapya kupokelewa Gerezani mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya zao hii ni kufuatia kwa kuripotiwa kwa uwepo wa ugonjwa wa Corona (Covid-19) nchini.
Akizungumza na MICHUZI BLOG, Msemaji wa jeshi la magereza SSP. Amina Kavirondo amesema kuwa baada ya kupimwa mahabusu wapya na kujiridhisha kuwa wako salama kwa maana hata polisi nao watakuwa wamechukuwa hatua kwa mahabusu hao.
"Na sisi watakapofika kwenye himaya ya kwetu tutachukua hatua ya kuhakikisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Kisukari chazidi kuwatesa Watanzania

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema kuna wastani wa wagonjwa 3,375,000 wa kisukari nchini, idadi ambayo ni kubwa kulinganisha na ya awali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa za kulevya zazidi kuwatesa vijana

Kwa miaka mingi vita dhidi ya mihadarati nchini Kenya imeendelea,wanaoathirika zaidi ni vijana,taarifa zaidi na John Nene

 

10 years ago

Mwananchi

Talaka zazidi kuwatesa watoto, wanawake Z’bar

>Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, Zainab Omar Mohammed  amesema wimbi la ndoa kuvunjika visiwani hapa limekuwa likisababisha familia nyingi kuishi katika mazingira magumu.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Imani za kishirikina zaendelea kuwatesa wananchi Serengeti

>Sakata la watu kupigwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ushirikina katika Kijiji cha Ikoma Robanda, wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara limezidi kushika kasi baada ya watu wengine 14 kupigwa, kati yao wawili wakilazwa hospitalini.

 

10 years ago

Vijimambo

SARE YAENDELEA KUWATESA WEKUNDU WA MSIMBAZI, WADROO TENA LEO

SIMBA SC imetoa sare ya sita mfululizo tangu kuanza kwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kufungana bao 1-1 na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro jioni ya leo.

Ushindi huo, unawafanya Mtibwa wafikishe pointi 14 kileleni mwa ligi hiyo, wakati Simba SC imefikisha pointi 6 leo
Simba SC ilikwenda kupumzika ikiwa tayari inaongoza kwa bao 1-0, lililotiwa kimiani na beki wa kimataifa wa Uganda, Joseph Owino dakika ya 35 kwa kichwa akimalizia mpira wa adhabu uliopigwa na Emmanuel...

 

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA&UTAFITI: Wanawake wanapolaumiwa kwa kuwatesa wanaume

Imezoeleka kusikia kwamba wanawake ndio wanaonyanyaswa; sasa taarifa mpya ni kwamba idadi ya wanaume wanaonyanyaswa na wanawake nchini inaongezeka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani