Talaka zazidi kuwatesa watoto, wanawake Z’bar
>Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, Zainab Omar Mohammed amesema wimbi la ndoa kuvunjika visiwani hapa limekuwa likisababisha familia nyingi kuishi katika mazingira magumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Dawa za kulevya zazidi kuwatesa vijana
11 years ago
Mwananchi07 Feb
SAIKOLOJIA&UTAFITI: Wanawake wanapolaumiwa kwa kuwatesa wanaume
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-mBjhe3EVbeI/VS6YTMtCgAI/AAAAAAAAGTk/SJeHGfelUMM/s72-c/Black-Couple-Arguing-pointing.jpg)
Talaka Hupelekea Ugonjwa wa Mshtuko wa Moyo Hasa kwa Wanawake
![](http://2.bp.blogspot.com/-mBjhe3EVbeI/VS6YTMtCgAI/AAAAAAAAGTk/SJeHGfelUMM/s1600/Black-Couple-Arguing-pointing.jpg)
Watu walio katika talaka wana uwezekano mkubwa wa kupatwa na ugonjwa wa mshtuko wa moyo ukilinganisha na wenzao ambao bado wako katika ndoa ,kulingana na utafiti nchini Marekani.Utafiti uliofanyiwa watu 15,827 unaonyesha kuwa wanawake ndio walioathirika zaidi na kwamba hupunguza hatari hiyo baada ya kuolewa tena.Utafiti huo uliochapishwa katika jarida la Journal unasema kuwa msongo wa mawazo kupitia kiasi unaohusishwa na talaka una athari za mda mrefu katika mwili.
Wakfu wa moyo nchini...
9 years ago
Habarileo21 Dec
Kamati yasaka timu za wanawake Z’bar
KAMATI ya Maendeleo ya Soka la Wanawake imesema kuwa inajipanga kuelekeza nguvu zake vijijini ili kuongeza idadi ya timu za mchezo huo kwa wanawake.
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Tafiti za bahari zasaidia wanawake Z’bar
TAASISI ya Sayansi za Baharini (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam visiwani Zanzibar imesema tafiti za maliasili ya bahari zimesaidia kupunguza tatizo la kadhia ya umasikini kwa wanawake...
10 years ago
Dewji Blog27 Mar
Asilimia 40 ya wanawake Z’bar wanaishi maisha duni
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (aliyefunikwa mwamvuli) akiwasili kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na Zanzibalicious Women Group na kufanyika ndani ya ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel mwishoni mwa wiki.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
UTAFITI uliofanywa na taasisi ya wanawake nchini Zanzibar ya Zanzibalicious Women umeonyesha kuwa asilimia 40 ya wanawake Zanzibar, wanaishi katika mazingira duni ya umasikini kwa kutojitambua na kukosa...
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Watoto wafelishwa na nini Z'bar?
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC_00811.jpg?width=640)
ASILIMIA 40 YA WANAWAKE Z’BAR WANAISHI MAISHA DUNI
10 years ago
Mtanzania11 May
Watoto, wafu waandikishwa kupiga kura Z’bar
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetoa matokeo ya utafiti wake kuhusu Daftari la Wapiga Kura Zanzibar ikieleza kuwa watoto wasiotimiza umri wa miaka 18 na watu waliofariki dunia, majina yao yanaendelea kutumika katika dafrati hilo huku Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ikikaa kimya.
Kutokana na hali hiyo CUF kimesema kinashangazwa na hatua ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuandaa mipango kinayodai ni ya kuendelea kuhujumu upigaji kura kwa kutumia vyombo...