ASILIMIA 40 YA WANAWAKE Z’BAR WANAISHI MAISHA DUNI
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC_00811.jpg?width=640)
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (aliyefunikwa mwamvuli) akiwasili kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na Zanzibalicious Women Group na kufanyika ndani ya ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel mwishoni mwa wiki. UTAFITI uliofanywa na taasisi ya wanawake nchini Zanzibar ya Zanzibalicious Women umeonyesha kuwa asilimia 40 ya wanawake Zanzibar, wanaishi katika mazingira duni ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Mar
Asilimia 40 ya wanawake Z’bar wanaishi maisha duni
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (aliyefunikwa mwamvuli) akiwasili kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na Zanzibalicious Women Group na kufanyika ndani ya ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel mwishoni mwa wiki.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
UTAFITI uliofanywa na taasisi ya wanawake nchini Zanzibar ya Zanzibalicious Women umeonyesha kuwa asilimia 40 ya wanawake Zanzibar, wanaishi katika mazingira duni ya umasikini kwa kutojitambua na kukosa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9lhQsMnv1qk/U-IQw_AnNzI/AAAAAAAF9i4/4PTuuTHCJM8/s72-c/Mama+Salma.jpg)
Elimu duni chanzo cha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi
![](http://2.bp.blogspot.com/-9lhQsMnv1qk/U-IQw_AnNzI/AAAAAAAF9i4/4PTuuTHCJM8/s1600/Mama+Salma.jpg)
Imeelezwa kwamba kutokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya, na vitendea kazi, utungaji wa sera zisizo rafiki, pamoja na ukosefu wa takwimu za magonjwa ni moja ya sababu zinazosababisha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wake wa marais wa Afrika waliohudhuria hafla fupi ya...
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Asilimia 70 ya wakazi Jiji la Mwanza wanaishi milimani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGGKyz8ZQNhOfUZs5Y0n39FqIwa*Whf-l-NCQ38gRlmRh8nksK*em82ziBaKYu*E3kc8tOi3aCCxGxMPN7vgwoFJ/mwaki.jpg?width=650)
MWAKIFWAMBA: SANAA HAILIPI, WENGI WANAISHI MAISHA YA KUIGIZA!
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rzuR9uKlA-c/U4Sfp3yu2WI/AAAAAAAAITE/JHjkOz6c9zA/s72-c/o-TEEN-GIRL-SCIENCE-facebook.jpg)
WANAWAKE WASOMI WA SAYANSI WANAISHI KWA RAHA NA HAWAZEEKI
![](http://2.bp.blogspot.com/-rzuR9uKlA-c/U4Sfp3yu2WI/AAAAAAAAITE/JHjkOz6c9zA/s640/o-TEEN-GIRL-SCIENCE-facebook.jpg)
Akiwa ndani ya mavazi ya kawaida, mweupe kwa rangi ya mwili huku kichwa chake kikiwa kimesheheni nywele nyeusi za asili zisizo na hata chembe ya kemikali, Loppa alikuwa na mengi ya kuwaeleza watu.Masomo ya sayansi hayazeeshi si mnaniona mimi hapa? Napendeza, sipendezi? alihoji mhadhiri huyo mbele ya umati uliofika kwenye...
10 years ago
GPLTAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUENDELEA KIVINGINE
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Filamu yasimulia maisha mitaa duni Kenya
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Utafiti: Asilimia 15 ya wanawake hukeketwa
10 years ago
Vijimambo22 Jul
Asilimia 70 ya wagonjwa wa saratani hupoteza maisha katika nchi zinazoendelea
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/12_7.jpg)
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/CKV9RFDWoAA1kFz.jpg)